Victoria place by night: Dar es Salaam Tanzania

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
The authentic feel of the city
20190720_193040.jpeg
20190720_192953.jpeg
20190720_192901.jpeg
 
Kwenye lile jengo la NHC kuna kapo inabanjuana halafu hawajafunga dirisha,yaani wako laivu looh.

Aahahahahahhaaaa kama umerudi kuizoom picha ili kuitafuta hiyo kapo ujue unapenda chabo hehehehehheee

Kasie Mavurugu.
 
Hayo majengo ukiyaona utasema upo ulaya. Sasa katisha hako kamtaa kwenye hicho kituo cha basi kwenda huko kwa kopa. Ni shiida, uswazi kinyama.
Ndo shida ya kijitonyama,makumbusho, mwenge na mlimani.

Nyuma ya ppf hq ndo kuna sinza huwezi amini
 
Hyo njiaa naona yote itajaa magorofa
Watu ndomana wameamua uza nyumba zao tu wawapishe we ye kisu kirefu wafanye yao

Ova
 
Kwenye lile jengo la NHC kuna kapo inabanjuana halafu hawajafunga dirisha,yaani wako laivu looh.

Aahahahahahhaaaa kama umerudi kuizoom picha ili kuitafuta hiyo kapo ujue unapenda chabo hehehehehheee

Kasie Mavurugu.
Mkuu unautani sana ww nime zoom mara 20 sijaona kitu
 
Back
Top Bottom