Victoria Beckham ajifungua Mtoto wa Nne(Baby Girl)

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
[h=3][/h]

Mke wa Mwanasoka David Beckham,Victoria amepata mtoto wa kike aka baby girl jana July 10,2011 akiwa ni mtoto wa 4 kwenye familia hiyo

David beckhama alitupia kwenye mtandao wa Facebook kuwa "wana furaha ya kutangaza ujio wa mtoto Harper Seven Beckham aliyezaliwa Los Angeles-Marekani'' na Harper Seven Beckham atakua na kaka zake watatu, Brooklyn (miaka 12), Romeo (miaka 8) naCruz (miaka 6) na jina la kati la Harper,Seven au 7 limetokana na baba yake kuvaa jezi no 7 wakati akiwa anaichezea timu ya Manchester United kabla ya kuiacha na kuhamia Real Madrid ya Spain



 
jf siwawezi.......asante mwaya kwa kutuletea habari ya kuzaliwa mtoto wa Victoria Beckham.....Herper Seven Beckham
 
watoto wa 4??? anataka kutengeneza timu nini?

au family planning imepita kushoto?? miaka mitano ijayo skendo za ngono zitakapoibuka atakuwa na watoto 10 ha ha haaa
 
Mbona na huyo mdogo anafanana na wayne Rooney, au kwasababu babaye na Rooney walicheza MAn U?
 
Hongera mwanya, endelea kuitii na kuiheshimu amri ya MUNGU 'Zaeni mkaijaze nchi ............"
 
Back
Top Bottom