Victor Wanyama kulipiza kisasi kwa Makonda

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Kuna habari zinasikika ya kwamba nguli wa soka wa harambee stars Victor Wanyama anayekipiga EPL na TOTENHAM HOTSPURS alipopata habari kuwa gavana wa darisalam anakwenda cairo kuangalia mechi dhidi yao amemshukuru Mungu kwa kumletea adui yake amfedheheshe hadharani. Kitendo cha kupoka jina la barabara iliyobatizwa kwa jina lake kipindi akiwa nchini kwa mapumziko ya EPL mwaka jana aliposhuhudia mtanange wa ndondo cup live kililenga kumfedhehesha. Amesikika akisema Sasa amepata nafasi ya "ku inflict maximum damage" kwa gavana.

Ameahidi kutupia 2 yeye mwenyewe.
Akamalizia kwa kusema "SO HELP ME GOD"

Gavana hajapatikana ili atoe maoni yake.
 
1139665
 
Governor amepolelewa na balozi pamoja na mwambata wa jeshi mjini Cairo.

Wale mliopata div one mlisha pata treatment kama hii?
Sasa mbona anambeba punda badala punda ambebe (asomaye na aelewe nilichoandika)
 
Wapi Victor Wanyama?Wapi Jaguar?Wapi Harambee Stars?Hongera sana mmenikomeshea hiyo kenge Mr.Misifa,governor wa somewhere.
Hiyo kenge inaendelea kusalia huko Cairo inarudishwa nyumbani???

I wish ibaki Hadi mechi na Mahrez Hiyo kenge itachakazwa Hadi ichakaeeeewe
 
Back
Top Bottom