jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Kuna habari zinasikika ya kwamba nguli wa soka wa harambee stars Victor Wanyama anayekipiga EPL na TOTENHAM HOTSPURS alipopata habari kuwa gavana wa darisalam anakwenda cairo kuangalia mechi dhidi yao amemshukuru Mungu kwa kumletea adui yake amfedheheshe hadharani. Kitendo cha kupoka jina la barabara iliyobatizwa kwa jina lake kipindi akiwa nchini kwa mapumziko ya EPL mwaka jana aliposhuhudia mtanange wa ndondo cup live kililenga kumfedhehesha. Amesikika akisema Sasa amepata nafasi ya "ku inflict maximum damage" kwa gavana.
Ameahidi kutupia 2 yeye mwenyewe.
Akamalizia kwa kusema "SO HELP ME GOD"
Gavana hajapatikana ili atoe maoni yake.
Ameahidi kutupia 2 yeye mwenyewe.
Akamalizia kwa kusema "SO HELP ME GOD"
Gavana hajapatikana ili atoe maoni yake.