Vicky Ntetema ajificha baada ya ripoti BBC

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
By Vicky Ntetema
BBC News

Advertisement

Undercover filming with a witchdoctor

I am living in hiding after I received threats because of my undercover work exposing the threat from witchdoctors to albinos living in Tanzania.

I do not regret it, even if I am very scared.

Mine is just one life, compared to the several thousand people living with albinism in the country.

If nothing is done about this network, they could kill every albino in the country - estimates vary between 4,000 and 173,000.

This year, at least 25 people with albinism have been killed, mostly in the Lake Victoria Zone, especially the Mwanza, Shinyanga and Mara areas.

Winifrida Rutahiro (2nd left), her six-year-old son (3rd left) and Tabu Rutahiro (1st right) - Nyerere Rutahiro's daughter
Winifrida Rutahiro (2nd left) is one albino who fears for her life

They are being killed because local witchdoctors say their body parts provide the potent ingredient for magic charms, which many local people use to bring success in business and love.

The bodies are left limbless and sometimes with a huge hole in the neck, from where blood would have been drained.

Families not only grieve because of the loss of their loved ones but are also shocked at the state in which the bodies are left by these murderers.

As if that is not enough, they have to bury their dead in the house, guard the graves on their farm and or build them with stones, metal bars and cement to prevent the killers from stealing the body parts.

Talking to chickens

So I posed as a businesswoman who wanted to get rich and "consulted" 10 witchdoctors.

The consultations included talking to a hedge and telling my problems to a chicken.


Once, albinos used to seek shelter from the sun. Now they have gone into hiding simply to survive, after a series of killings linked to witchcraft

Living in fear: Tanzania's albinos

These are regarded as intermediaries between the witchdoctor, their ancestors and the spirits, or "jinns".

They used old German and English coins with holes in the middle, cowry shells, pebbles, nails, nuts and bolts, screws, crosses with the little figure representing Jesus, and beads which they would shake in a red or white cloth and throw on the ground, while incense burned from all around.

Sticky green stems or old money notes are put between pages from the Koran.

Then the witchdoctors would speak in Arabic and the local Sukuma language and translate or use an interpreter to get the message through to me.

I presented the same case to all of them and got different solutions.

The consultation fee ranged from $20 to $100 per session, with a promise of returning for a further problem-solving process.

All of them gave me different suggestions of who my enemies were - not by name but by description.

None got anything right, most importantly my true mission.

But that did not stop me from praying for my safety, as that was the only defence I had.

Ground organs

Never in my life had it occurred to me that I would one day be sitting in front of a witchdoctor, also known as sangomas or voodoo priests and priestesses.

Coming from a religious family, it was unthinkable to approach or even go near the compound of such people.

A man builds Nyerere Rutahiro's grave
The graves of albinos are guarded or sealed with cement

I met a registered traditional healer who uses African herbs to cure ailments in Magu, the town that shares the name with the district which is known to be the hub of sorcery.

This man condemned the way "conmen and foreign witchdoctors" lured locals into trusting them, before hiring murders to organise raids on homes of albinos just after sunset.

Two witchdoctors promised to get me a magic concoction mixed with ground albino organs. The starting price was $2,000 for the vital organs.

Another told me said that the police were among his customers and that he could make a special potion mixed with ground male and female private parts to enable people to commit armed robbery without being caught.

The encounter with witchdoctor number three was in a village called Gambusi, the most feared area in the region.

The compound had about eight huts around the outside, with a more elaborate structure in the middle.

Here a man in his forties wearing a white T-Shirt and khaki trousers with a mobile phone on his belt asked me whether I had brought a chicken.


A gang of men went round the small town where we had stayed, searching all the guest houses

"What for?" I asked.

He laughed and said that I was forgiven because he realised that I was a novice in the business.

He demanded $2 for a tiny three-week-old chicken and $3 for the fortune-telling.

I was then told to get out of the compound, face south-east, where I hail from - Dar es Salaam - spit on the bird's head, back, tail and on my hand and have a heart-to-heart talk with the chick revealing all my problems.

He asked for $200 for the consultations and said I should spend two nights there before completing the process.

But when I told him that I had only $30 he told me to go away and return when I had the full amount.

Chilling message

When I went back with other BBC colleagues, his nephew was there to receive me.

He said he knew what I wanted and said he would find me albino blood, hair, leg and palms for $2,000.

map

He charged me $55 for the initial consultations and asked me to return with the rest of the money.

I found the last witchdoctor in Lamadi, a tiny rural town which lies at the junction of the roads leading to Kenya and Uganda.

He charged me $100 for the first session and said he would give me the magic potion with albino and other human organs for a price.

While I was there, a man came for a consultation - the witchdoctor said he was a police officer but he was wearing civilian clothes.

However, he was made to wait until my session was over and, I later learned, told the witchdoctor that I was involved in a sting operation.

Shortly afterwards, the threatening phone calls started.

And a gang of men went round the small town of Magu, where we had briefly stayed, searching all the guest houses. Luckily, we had already moved on to the nearest city, Mwanza.

One particularly chilling message came on my mobile phone: "What have you done now? Watch your back."

The witchdoctor had boasted of working with a powerful network across East Africa, which included police officers and armed robbers.

I knew they were involved in the murder of albinos, so I was terrified.

At first, I did regret taking on this mission - especially for the sake of my family.

Had I put their lives at risk?

But then I realised that I had done the right thing.

Even if I die today, those involved will have been exposed.

My Take:

Mistari mingi inazidi kuvukwa na baadaye tusishangae tukajikuta tunaishi katika Taifa ambalo sheria siyo tu zitapuuzwa tutaruhusu kutawaliwa kwa hofu. Suala la kutekwa yule mtoto kule Mbagala na suala hili na muda si mrefu masuala mengi yaliyoko mbeleni yanaashiria kitu kimoja kizito nacho the coming age of lawlessness.

Kikubwa ni kuwa wale wezi wadogo wadogo na vibaka wanaona mbona mafisadi wa EPA n.k hawajakamatwa na wao wameeiba mabilioni na wamesababisha hili na lile na ushahidi upo. Basi kama "kukosa na tukose wote" - Kuhani sijasema naamini hivyo ni sahihi.

kwa hiyo huko tunakokwenda sioni mwanga zaidi ya giza tu. As long as Kikwete anaendellea na ziara zake hizi na kuacha kushughulikia masuala makubwa ya Taifa basi ndivyo ile pressure ya kwenye chupa ya togwa inavyozidi. There will be an outlet and believe me we won't like it.
 
Mungu atusaidie mambo yasiishie hapa. Mtandao ujuikane wawekwe ndani.Hapa bila nguvu za Mungu yataishia hapohapo kama kawaida ya mambo TZ.
EE BWANA USIKIE KUOMBA KWETU. AMEN
 
Mkuu naona ulisahau kitu hiki hapa chini.
_44860600_albino_226.jpg
 
...trick kama ya vick ntetema ..USALAMA WA TAIFA NA CID...HAWAKUWAHI KUIFIKIRIA......maana wangewashika waganga kama kuku..na ushahidi wa kumwaga....sasa kuna haja gani ya USALAMA WA TAIFA [aka . usalama wa kuku ,usalama wa vyura wa kihansi,usalama wa mafisadi] KUTENGEWA BAJETI YA BILIONI 140 KWA MWAKA!!!!!!???? ITS TIME NOW THERE BUDGET COME UP FOR SCRUTINY...THE NO GO ZONE SHELTER THEY PUT IT NDIO INAONGEZA UFISADI......

wanashindwaje na mwandishi wa habari ambaye simply hana hata elementary training ya UJASUSI...???
 
nyie ngojeni tu.. kwa kadiri wanaendelea kuwafumbia macho mafisadi wakubwa ndivyo wale wadogo nao wanavyokuwa wanathubutu zaidi. Hivi Kikwete anaruhusiwa hata kusoma magazeti? isije kuwa jamaa is shielded from all outside contacts.. yawezekana yeye analetewa tu vipande vya habari na hana access ya kitu anachojua yeye mwenyewe.
 
nyie ngojeni tu.. kwa kadiri wanaendelea kuwafumbia macho mafisadi wakubwa ndivyo wale wadogo nao wanavyokuwa wanathubutu zaidi. Hivi Kikwete anaruhusiwa hata kusoma magazeti? isije kuwa jamaa is shielded from all outside contacts.. yawezekana yeye analetewa tu vipande vya habari na hana access ya kitu anachojua yeye mwenyewe.

...............HUYU jangala michosho kiwete...he failed before even he started..

..kaka hivi karibuni atakuja huko kwa ziara rasmi...siunajua zile nyingine zilikuwa za matembezi kama za dada grace mufuru...jongwe....you know where do you think you can get ORIGINALS gucci..or mark and spencers....

..anyway ndio hivyo...
 
Hii jamii ya yetu ambayo inategemewe kutoa viongozi bora at the same time binadamu anathamanishwa sawa na bajaji mbovu $2000.

Hata hivyo kuna sehemu nisikia police are involved... kumbe ni polisi kama mtu sio kama taasisi, kwani nani asiyejua idadi kubwa ya polisi ni watu waliokataa shule.

By the way tunaifanya nchi iwe na uongozi mbovu kwa sababu... tunamtwisha rais kufanya kila kitu hali ya kwamba tunajua wazi kuna taasisi zilizopo kisheria na kikatiba kulinda usalama wa raia...

Shame on those whom to do not target the exact institution supposed to work.
 
Hahahaha nimecheka sana sentensi moja hapo juu kuwa....Polisi wengi..walikataa shule....hahahaha...kazi kweli kweli
 
nyie ngojeni tu.. kwa kadiri wanaendelea kuwafumbia macho mafisadi wakubwa ndivyo wale wadogo nao wanavyokuwa wanathubutu zaidi. Hivi Kikwete anaruhusiwa hata kusoma magazeti? isije kuwa jamaa is shielded from all outside contacts.. yawezekana yeye analetewa tu vipande vya habari na hana access ya kitu anachojua yeye mwenyewe.

Stick to the subject at hand, this is not the time to take jabs at JK or Mafisadi, hizi imani za kishirikina zipo afrika nzima, we all need to rid ourselves of this... pls lets not get it twisted, dude...... that is below the belt....
 
Assuming Vicky anatoa taarifa kwenye vyombo vya usalama, incidentally anayepokea taarifa ni mmoja wa wale askari wateja wa sangoma, what follows ?
 
Nimemsikia asubuhi waziri Lawrence Masha akihojiwa na BBC kuhusu mauaji ya Albino alikuwa mkali sana anadai swala lina kuzwa hili na hao wauaji wanashughulikiwa kama kesi zingine.Huyu jamaa sikumwelewa.
 
taifa lisilo na dira, bunge linaaamini ucchawi, rais na mawaziri every week end bagamoyo, wanachi ndo usisieme

taifa hili haliwezi kupata baraka kwa Mungu na siku zake zinahesabika
 
Nimemsikia asubuhi waziri Lawrence Masha akihojiwa na BBC kuhusu mauaji ya Albino alikuwa mkali sana anadai swala lina kuzwa hili na hao wauaji wanashughulikiwa kama kesi zingine.Huyu jamaa sikumwelewa.

kama zaidi wa watu 25 wameshauuwa, na wengine zaidi ya 4000 wanaishi kwa wasiwasi, kinachokuzwa hapa ni nini?

huyu anaota ufsadi wake wa immma
 
mi nilimsikiliza huyu dada kwenye BBC kwa kweli nilimpongeza, coz kafanya kitu ambacho polisi mpaka sasa wameshindwa........ kuna mganga mmojawapo yeye alikuwa anacheka sana kisa anauza na viungo vya siri vya mwanadamu.... hivi jamani twaenda wapi???? Inasikitisha
 
Nimemsikia asubuhi waziri Lawrence Masha akihojiwa na BBC kuhusu mauaji ya Albino alikuwa mkali sana anadai swala lina kuzwa hili na hao wauaji wanashughulikiwa kama kesi zingine.Huyu jamaa sikumwelewa.

Si ajabu nae kapata cheo kwa namna hiyo hiyo
 
...trick kama ya vick ntetema ..USALAMA WA TAIFA NA CID...HAWAKUWAHI KUIFIKIRIA......maana wangewashika waganga kama kuku..na ushahidi wa kumwaga....sasa kuna haja gani ya USALAMA WA TAIFA [aka . usalama wa kuku ,usalama wa vyura wa kihansi,usalama wa mafisadi] KUTENGEWA BAJETI YA BILIONI 140 KWA MWAKA!!!!!!???? ITS TIME NOW THERE BUDGET COME UP FOR SCRUTINY...THE NO GO ZONE SHELTER THEY PUT IT NDIO INAONGEZA UFISADI......

wanashindwaje na mwandishi wa habari ambaye simply hana hata elementary training ya UJASUSI...???

Hakuna haja ya kuwa na kitengo cha usalama wa taifa na wala kutenga bajeti kwa kitengo hicho ni missappropriation ya funds ambazo zingesaidia hata kuboresha huduma za afya nchini kuliko. usalama wa taifa wa tanzania ni kama kikundi cha mafia cha kuwalinda watu fulani serikalini na hivyo siyo sahihi kupata ruzuku toka ktk fedha za walipa kodi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom