Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Lisu, Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, na wengine wengi.

Taja hata mkoja huko lumumba ukianzia na maushungi uone jinsi tutakavyoshusha data za unafiki wake
Hawa walisema Lowassa fisadi mpaka wakamuweka kwenye list yao ya list of shames ya mafisadi nawakasema wanaushaidi ambao wakiweka hadharani nchi itasimama lakini Cha ajabu hao hao wakamteua Lowassa awe mgombea wao wa uraisi na pia wakafuta list of shames
 
unajua mwaka 2014 alishindwa kufunga ndoa na bwana wake kwa nini,na michango na maandalizi yalikua yamekwisha fanyika?? Dakika za mwisho msela akalala mbele??
Dah!...lile tukio lilikuwa la kufedhehesha sana..... anyway ndio maisha hayo.
 
Mtu timamu Utampigaje mwenzio risasi mia tano jamani? atakunyaje huyo? Mkewe atampaje vitu? wkt naniiliu ni matobo matupu! kwani hayo yooote vicky hakuyaona?? yaani amtetee tu sababu alimuimbia? kwani shetani awali si aliimba na Malaika?
Hizi comment zingine bhana....
 
Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.

Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.

Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.

Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.

==========

Mwandishi: Hujaeleza mheshimiwa Vicky Kamata, umezunguka sana. Swali la msingi, ni kitu gani kigumu ama ni jambo gani, wakati gani ambao ulikumbana na jambo gumu ambalo ukitafakari unaona kabisa kidogo likutoe kwenye reli?

Vicky Kamata: Unazungumza wakati tayari niko bungeni au wakati natamani kuwa kwenye siasa?

Mwandishi: Tayari uko kwenye siasa

Vicky Kamata: Nikiwa bungeni, labda kile kipindi ambacho awamu ya tano iliingia, mimi ilikuwa tayari ndio nimeolewa, nina ndoa changa tu ikatokea bahati mbaya, siwezi kusema bahati mbaya, mwenye ofisi yake akisema pumzika nataka huyu akae hapa utalalamika? Huwezi kulalamika.

Hicho kilitokea kwa mume wangu, alikipokea very positively, binafsi nilikipokea kawaida kabisa na maisha yakawa mazuri kabisa lakini sasa wenzangu pale bungeni wakaanza kama kunitenga.

Chochote ninachoshauri naonekana ninashauri kwa sasabu nina hasira, kitu ambacho sikuwa nacho wala sikiwazii kwasababu mhusika mwenyewe hajalalamika, walihusisha kazi ya mume wangu na kazi yangu.

Tena wanaCCM wenzangu mpaka walikuwa wanachangia wazi kabisa yaani flani, anakupiga kijembe cha wazi kabisa kwamba una hasira, mume wako ametumbuliwa.


Mwandishi: Umekuwa mbungewa viti maalum kwa miaka 10 mkoa wa Geita, kwanini ukaja huku(Dar-Kibamba) ambako hukufanya chochote kwa ajili yao? Hofu yako ilikuwa nini Geita?

Kamata: Sikuwa na hofu isipokuwa katika majimbo yote ya Geita, yote yalikuwa na wabunge ambao ni wazuri, kaka zangu na wanafanya kazi nzuri kiasi huoni sababu ya kwenda kusukumana na Dotto Biteko, Kanyasu au uende kwa Msukuma

Mwandishi: Kwa mantiki hiyo unataka kutuambia Kibamba hakukuwa na mbunge anayefanya vizuri?

Kamata: 'Exactly' mimi ni CCM mbunge aliyekuwepo wakati ule alikuwa ni wa upinzani na niliona ilikuwa ni wakati sahihi wa kurudisha jimbo letu kwenye chama cha mapinduzi, Kibamba nilienda kwasababu jimbo lilikuwa upinzani na kule kwetu hakuna jimbo lolote lilikuwa upinzani, majimbo yote yalikuwa ni CCM na yalikuwa na wabunge wanapendwa

Mwandishi: Unataka kuwaaminisha watanzania, majimbo ambayo yanaongozwa na wabunge wa CCM ndio yanayopofanya vizuri

Kamata: Sijasema hivyo, inawezekana yapo majimbo ya wabunge wa CCM na hayafanyi vizuri lakini kwa mkoa wangu wa Geita wana sifa nzuri na wanafanya kazi nzuri.

Mwandishi: Ni kweli kwamba wanawake wengi walioko kwenye siasa wanatumika kwenye rushwa ya ngono?

Kamata: Mimi kama mbunge wa viti maalum nilipigiwa kura na wanawake wenzangu, sasa ukiniambia kuna rushwa ya ngono sijui hata inakuwaje lakini sidhani, siwezi kulijibia hilo.

Mwandishi: Hivi karibuni tulishuhudia andiko lako katika mitandao ya kijamii ambalo liliibua hisia za watanzania na nikiona kila mmoja akiipost kwa walichodai umetoa povu, nini ilikuwa dhamira ya andiko lako?

Kamata: Ningeshangaa usingeniuliza hilo swali, dhamira ya andiko langu ilikuwa ni kukumbusha watanzania wenzangu au mtu yoyote ambae angepita kwenye 'page' yangu kwamba hapa duniani sio mahali petu pa kudumu, tujitahidi kusihi vizuri ili tutakapoondoka tuache historia nzuri kwasababu hakuna atakaebaki hapa, hapa tumepewa muda mchache tu lakini katika muda huu mchache tuyafanye yale mzee Mwinyi amekuwa akituambia, kwamba maisha ni hadithi tu.

Mwandishi: Kwanini viongozi wengi wanatumia nafasi zao vibaya kama ulivyosema?

Vicky Kamata: Nadhani ni hulka ya mtu mwenyewe, walikuwepo viongozi ambao wapo kwa ajili ya kutesa watu wa Mungu na Mungu alijua jinsi ya kushughulika nao leo tunawasoma kama historia.

Mwingine anapambana apate madaraka fulani ili amkomeshe fulani.

Mwandishi: Athari yake katika taifa ni nini?

Vicky Kamata: Athari yake ni kutengeneza Taifa la watu wanafki, waongo, wavivu wasiojiamini na madhara yake pia ni makubwa sana kwasababu hakuna kitakachoendelea, nchi itasimama.

Juzi nimemuona askofu Arusha akimwambia mama, mama tibu majeraha, kwanini amesema hivyo? Ina maana kuna waliojeruhiwa, mimi nataka kuongezea hapo kwa askofu, sio mama atibu majeraha ila ninawaomba viongozi wa dini wagange mioyo ya watu wamejeruhiwa kwasababu ile post yangu imenipa vitu vya ajabu, nimepigiwa simu nyingi sana, kila mtu anaelezea maumivu aliyopitia katika kipindi fulani.

Kwa hiyo nataka kusema kwamba, sio mama Samia, mama Samia hawezi kutibu majeraha lakini viongozi wa dini wanaweza kutibu majeraha ya watu walioumizwa.

Na sisi tuliovurugwa baada ya JPM kuondoka nani atutibu….

Mimi nafikiria jeshi ingechukua nchi kwa muda ili wote tupone…maana mpaka sasa kiza nikinene mno…
 
Tanzania inataka ukatili kama miaka 50 hivi kushape jamii.....binafsi naanza harakati za kuwa Rais wa hii nchi na nitakuwa Katili kuliko huyo mnayemsema muache kudekadeka...

Hili linchi lina WAPUMBAVU wengi wanaohitaji ukatili wa hali ya juu tena miaka za 50 hivi ili wakae sawa na jamii mpya ikija iwe ya watu wasiopenda upumbavu na ukijaribu upumbavu unakufa on the spot..

Hiyo ulaya na America mnayokimbilia iliwahi kuwa ma makatili kuliko huyu mnayemuita katili ( late JPM hakuwa katili aisee aliwapenda mno anahitajika katili kuliko yeye).... huko ulaya na america viliwahi kupita vizazi katili ndio maendeleo yakaja ya kweli sio hii sugar coating..

Leo hii Ulaya na America imeendelea na makatili wote wamekabi in back face kwa kazi fulani fulani za kikatili na huko front face imewekewa wanasiasa wanaotabasamu lakini ukatili unaendelea nyuma huko....Ndio waiRaq walinyonga Saadam, Walibya wakamuua Ghadafi, huu ni ukatili wa back stage wa hao mnaowaona wanademocracy...

Bila hii nchi kuwafanyia ukatili wapumbavu na mamia kwa maelfu wakapotea na kufa haiwezi siku kuja kuendelea kwa hayo tunayoita maendeleo ya kweli....

Kabisa
 
Atulie Huyo Ccm Reserve

Anajipendekeza kwa kocha, tutasikia mengi safari hii maadamu tu wamegundua yuko anayefarijika kwa kusikia hayo mengi. JPM amekufa mwili tu lakini anaishi ndani ya nyoyo za Watanzania walio wengi. Tabia hii ya baadhi ya wanasiasa kujaribu kupimana ubavu na aliyelala kaburini inapatikana Tanzania tu.
 
Nina chuki? Yaan tukifunguka kisa ni mwananke mwenzetu ndo chuki? Ulisikia nina dhiki ama? Mjinga kweli. Tunapenda haki. No matter where. Ama nani. Hatupendi dhuluma

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
ivi kumbe chuki ni dhiki? au unayo unayo kweli? mjinga? hata nikiwa ivooo! Vicky ni Bomba tu pasuka upasuke mie na vicky tuuuuuuuuu! watu weweeeeee!! simwachiiiii!
 
We nawe mmama nini
Kaungane na kahaba mwenzako

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mama si alikuzaa jamani au! yaani unamdharau aliye kuzaa?
kahaba siyo ugonjwa Mkuu hata Bibi yake Yesu alikuwa kahaba! Mtu anaetoa burudani Dodoma kwa mbunge wa jimboni kwako ni kahaba pekee! kwanza wana maisha bomba kuliko weye! hata ufanyeje huwezi fikia ile level ya kahaba! na hawafagi njaa wale! afu warembooooooo! km huyu..............

mtu pekee wa kwanza kumuona Yesu ktk ufufuo alikuwa kahaba!! lkn bado utakili kuwa yeye ni Bwana! utake usitake ! au shule imekuona mkuu sema tu tukusaidie!
 
Tanzania inataka ukatili kama miaka 50 hivi kushape jamii.....binafsi naanza harakati za kuwa Rais wa hii nchi na nitakuwa Katili kuliko huyo mnayemsema muache kudekadeka...

Hili linchi lina WAPUMBAVU wengi wanaohitaji ukatili wa hali ya juu tena miaka za 50 hivi ili wakae sawa na jamii mpya ikija iwe ya watu wasiopenda upumbavu na ukijaribu upumbavu unakufa on the spot..

Hiyo ulaya na America mnayokimbilia iliwahi kuwa ma makatili kuliko huyu mnayemuita katili ( late JPM hakuwa katili aisee aliwapenda mno anahitajika katili kuliko yeye).... huko ulaya na america viliwahi kupita vizazi katili ndio maendeleo yakaja ya kweli sio hii sugar coating..

Leo hii Ulaya na America imeendelea na makatili wote wamekabi in back face kwa kazi fulani fulani za kikatili na huko front face imewekewa wanasiasa wanaotabasamu lakini ukatili unaendelea nyuma huko....Ndio waiRaq walinyonga Saadam, Walibya wakamuua Ghadafi, huu ni ukatili wa back stage wa hao mnaowaona wanademocracy...

Bila hii nchi kuwafanyia ukatili wapumbavu na mamia kwa maelfu wakapotea na kufa haiwezi siku kuja kuendelea kwa hayo tunayoita maendeleo ya kweli....
Mkuu mwaka wowote utakao uwania uraisi, naomba uni-TAG coz una KURA yangu ya wazi.

#NAMAANISHA.
 
57 Reactions
Reply
Back
Top Bottom