Vicky Kamata: Niligombea ubunge Kibamba kwa sababu Mnyika alikuwa hajafanya lolote la maana!

Mbunge mstaafu Vicky Kamata amesema aliamua kugombea ubunge Kibamba badala ya Geita kwa sababu yeye ni mkazi wa Kibamba na pia mbunge aliyekuwepo alikuwa hajafanya lolote la maana la kuwaletea maendeleo wananchi

Vicky amesema wabunge wote wa Geita walikuwa ni wa CCM na walikuwa wanafanya vizuri sana hivyo isingekuwa busara yeye kugimbea kule ndio sababu aliamua kuja Kibamba kumfurusha J J Mnyika wa Chadema.

Source: Star tv
Huyo kahaba ameshapoteza mwelekeo, apuuzwe tu
 
Back
Top Bottom