Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.

Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.

Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.

Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.

==========

Mwandishi: Hujaeleza mheshimiwa Vicky Kamata, umezunguka sana. Swali la msingi, ni kitu gani kigumu ama ni jambo gani, wakati gani ambao ulikumbana na jambo gumu ambalo ukitafakari unaona kabisa kidogo likutoe kwenye reli?

Vicky Kamata: Unazungumza wakati tayari niko bungeni au wakati natamani kuwa kwenye siasa?

Mwandishi: Tayari uko kwenye siasa

Vicky Kamata: Nikiwa bungeni, labda kile kipindi ambacho awamu ya tano iliingia, mimi ilikuwa tayari ndio nimeolewa, nina ndoa changa tu ikatokea bahati mbaya, siwezi kusema bahati mbaya, mwenye ofisi yake akisema pumzika nataka huyu akae hapa utalalamika? Huwezi kulalamika.

Hicho kilitokea kwa mume wangu, alikipokea very positively, binafsi nilikipokea kawaida kabisa na maisha yakawa mazuri kabisa lakini sasa wenzangu pale bungeni wakaanza kama kunitenga.

Chochote ninachoshauri naonekana ninashauri kwa sasabu nina hasira, kitu ambacho sikuwa nacho wala sikiwazii kwasababu mhusika mwenyewe hajalalamika, walihusisha kazi ya mume wangu na kazi yangu.

Tena wanaCCM wenzangu mpaka walikuwa wanachangia wazi kabisa yaani flani, anakupiga kijembe cha wazi kabisa kwamba una hasira, mume wako ametumbuliwa.

Mwandishi: Umekuwa mbungewa viti maalum kwa miaka 10 mkoa wa Geita, kwanini ukaja huku(Dar-Kibamba) ambako hukufanya chochote kwa ajili yao? Hofu yako ilikuwa nini Geita?

Kamata: Sikuwa na hofu isipokuwa katika majimbo yote ya Geita, yote yalikuwa na wabunge ambao ni wazuri, kaka zangu na wanafanya kazi nzuri kiasi huoni sababu ya kwenda kusukumana na Dotto Biteko, Kanyasu au uende kwa Msukuma

Mwandishi: Kwa mantiki hiyo unataka kutuambia Kibamba hakukuwa na mbunge anayefanya vizuri?

Kamata: 'Exactly' mimi ni CCM mbunge aliyekuwepo wakati ule alikuwa ni wa upinzani na niliona ilikuwa ni wakati sahihi wa kurudisha jimbo letu kwenye chama cha mapinduzi, Kibamba nilienda kwasababu jimbo lilikuwa upinzani na kule kwetu hakuna jimbo lolote lilikuwa upinzani, majimbo yote yalikuwa ni CCM na yalikuwa na wabunge wanapendwa

Mwandishi: Unataka kuwaaminisha watanzania, majimbo ambayo yanaongozwa na wabunge wa CCM ndio yanayopofanya vizuri

Kamata: Sijasema hivyo, inawezekana yapo majimbo ya wabunge wa CCM na hayafanyi vizuri lakini kwa mkoa wangu wa Geita wana sifa nzuri na wanafanya kazi nzuri.

Mwandishi: Ni kweli kwamba wanawake wengi walioko kwenye siasa wanatumika kwenye rushwa ya ngono?

Kamata: Mimi kama mbunge wa viti maalum nilipigiwa kura na wanawake wenzangu, sasa ukiniambia kuna rushwa ya ngono sijui hata inakuwaje lakini sidhani, siwezi kulijibia hilo.

Mwandishi: Hivi karibuni tulishuhudia andiko lako katika mitandao ya kijamii ambalo liliibua hisia za watanzania na nikiona kila mmoja akiipost kwa walichodai umetoa povu, nini ilikuwa dhamira ya andiko lako?

Kamata: Ningeshangaa usingeniuliza hilo swali, dhamira ya andiko langu ilikuwa ni kukumbusha watanzania wenzangu au mtu yoyote ambae angepita kwenye 'page' yangu kwamba hapa duniani sio mahali petu pa kudumu, tujitahidi kusihi vizuri ili tutakapoondoka tuache historia nzuri kwasababu hakuna atakaebaki hapa, hapa tumepewa muda mchache tu lakini katika muda huu mchache tuyafanye yale mzee Mwinyi amekuwa akituambia, kwamba maisha ni hadithi tu.

Mwandishi: Kwanini viongozi wengi wanatumia nafasi zao vibaya kama ulivyosema?

Vicky Kamata: Nadhani ni hulka ya mtu mwenyewe, walikuwepo viongozi ambao wapo kwa ajili ya kutesa watu wa Mungu na Mungu alijua jinsi ya kushughulika nao leo tunawasoma kama historia.

Mwingine anapambana apate madaraka fulani ili amkomeshe fulani.

Mwandishi: Athari yake katika taifa ni nini?

Vicky Kamata: Athari yake ni kutengeneza Taifa la watu wanafki, waongo, wavivu wasiojiamini na madhara yake pia ni makubwa sana kwasababu hakuna kitakachoendelea, nchi itasimama.

Juzi nimemuona askofu Arusha akimwambia mama, mama tibu majeraha, kwanini amesema hivyo? Ina maana kuna waliojeruhiwa, mimi nataka kuongezea hapo kwa askofu, sio mama atibu majeraha ila ninawaomba viongozi wa dini wagange mioyo ya watu wamejeruhiwa kwasababu ile post yangu imenipa vitu vya ajabu, nimepigiwa simu nyingi sana, kila mtu anaelezea maumivu aliyopitia katika kipindi fulani.

Kwa hiyo nataka kusema kwamba, sio mama Samia, mama Samia hawezi kutibu majeraha lakini viongozi wa dini wanaweza kutibu majeraha ya watu walioumizwa.

Wanasiasa ni kuwa muangalifu sana ukiamua kuwasikiliza na kuwafuatilia. I hope we will all learn to be humble....Ila tunavuna tunayopanda. kama vile anavyomlaumu Jiwe, na yeye asije kuwa analaumiwa na familia ya marehemu mume wake.
 
Mpuuzi tu anatetea ndoa yake na sio maslahi ya taifa.JPM kama alikutungua aliona hufai hapo ukaendelee na majukumu mengine ya kulea mume na wanao.
 
Viongozi Wa dini hawa wanafiki?
 
Tanzania inataka ukatili kama miaka 50 hivi kushape jamii.....binafsi naanza harakati za kuwa Rais wa hii nchi na nitakuwa Katili kuliko huyo mnayemsema muache kudekadeka...

Hili linchi lina WAPUMBAVU wengi wanaohitaji ukatili wa hali ya juu tena miaka za 50 hivi ili wakae sawa na jamii mpya ikija iwe ya watu wasiopenda upumbavu na ukijaribu upumbavu unakufa on the spot..

Hiyo ulaya na America mnayokimbilia iliwahi kuwa ma makatili kuliko huyu mnayemuita katili ( late JPM hakuwa katili aisee aliwapenda mno anahitajika katili kuliko yeye).... huko ulaya na america viliwahi kupita vizazi katili ndio maendeleo yakaja ya kweli sio hii sugar coating..

Leo hii Ulaya na America imeendelea na makatili wote wamekabi in back face kwa kazi fulani fulani za kikatili na huko front face imewekewa wanasiasa wanaotabasamu lakini ukatili unaendelea nyuma huko....Ndio waiRaq walinyonga Saadam, Walibya wakamuua Ghadafi, huu ni ukatili wa back stage wa hao mnaowaona wanademocracy...

Bila hii nchi kuwafanyia ukatili wapumbavu na mamia kwa maelfu wakapotea na kufa haiwezi siku kuja kuendelea kwa hayo tunayoita maendeleo ya kweli....
Tafuta pesa ndugu. Acha chuki. Haikusaidii
 
Mpaka waupate huo ubunge wa viti maalumu wanapitia mengi sana.
Pole yao, lakini huyu dada ajifunze staha.

Asijipe umuhimu asiokua nao; Magufuli angekuwa na personal vendetta nae huo ubunge wake angeusikia kwenye bomba tu.

Kuna watu walishinda kura za maoni walikatwa kwenye ubunge kwa sababu za ovyo kweli, mpaka mtu unawahurumia. Kumbuka CCM hadi ukatwe ilikuwa either wana mgombea wao wa kimkakati au alieshinda amechafua mahala.

2020 Magufuli alikuja na utaratibu wake ni sawa Salma Kikwete na mwanawe Ridhiwani kuwa wabunge; hila sio sawa Dotto na Kulwa Biteko kuwa wabunge. Sasa unajiuliza kigezo cha kuacha familia moja ni nini na kuengua kingine ni kipi.

Personal naamini mshindi wa kura za maoni jimboni ni haki yake ata kama huko wao mzima umeshinda pande zingine; that’s what democracy demands.

Kama issue ni kusakamwa bungeni sidhani kama kuna watu walilalama kama Bashe na Nape; mpaka Bashe kuwataja usalama wa taifa na Nape kuvaa bullet proof.

Bashe huyo huyo aliishia kuteuliwa waziri mara mbili na Nape kapita bila ya kupingwa.

Pamoja na Nape kuomba msamaha uhalisia ni kwa ‘Musiba’ alikuwa anamtukana kila siku bila ya sababu to provoke his reaction.

Juu ya kukosewa Nape ndio aliomba msamaha na yakaisha hiyo ni kwa juu juu tu.

Hila Magufuli angekuwa na personal vendetta na Nape wana receipt za printing tender alizokuwa anaipa kampuni ya mdogo wake bila ya ushindani akiwa msemaji wa CCM.

Hivyo nyie mnadhani Magufuli angekuwa na shida ya kuwapa watu kesi za ushahidi kuwamaliza angeshindwa.

Stupid Vicky Kamata; yaani kwenye kichwa chake anaamini Magufuli alikuwa na chuki nae binafsi what an ignorant woman, angeupata huo ubunge.
 
Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Kwani Kuna mwanasisiemu asiyekuwa mnafiki?

CCM wote ni wanafiki nilijifunza Hilo kupitia janga la Uviko 19 na mengine mengi.
Hawana wanachokisimamia kwa misimamo yao, ila ni kufuata upepo tu.
 
Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.

Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.

Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.

Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.

==========

Mwandishi: Hujaeleza mheshimiwa Vicky Kamata, umezunguka sana. Swali la msingi, ni kitu gani kigumu ama ni jambo gani, wakati gani ambao ulikumbana na jambo gumu ambalo ukitafakari unaona kabisa kidogo likutoe kwenye reli?

Vicky Kamata: Unazungumza wakati tayari niko bungeni au wakati natamani kuwa kwenye siasa?

Mwandishi: Tayari uko kwenye siasa

Vicky Kamata: Nikiwa bungeni, labda kile kipindi ambacho awamu ya tano iliingia, mimi ilikuwa tayari ndio nimeolewa, nina ndoa changa tu ikatokea bahati mbaya, siwezi kusema bahati mbaya, mwenye ofisi yake akisema pumzika nataka huyu akae hapa utalalamika? Huwezi kulalamika.

Hicho kilitokea kwa mume wangu, alikipokea very positively, binafsi nilikipokea kawaida kabisa na maisha yakawa mazuri kabisa lakini sasa wenzangu pale bungeni wakaanza kama kunitenga.

Chochote ninachoshauri naonekana ninashauri kwa sasabu nina hasira, kitu ambacho sikuwa nacho wala sikiwazii kwasababu mhusika mwenyewe hajalalamika, walihusisha kazi ya mume wangu na kazi yangu.

Tena wanaCCM wenzangu mpaka walikuwa wanachangia wazi kabisa yaani flani, anakupiga kijembe cha wazi kabisa kwamba una hasira, mume wako ametumbuliwa.

Mwandishi: Umekuwa mbungewa viti maalum kwa miaka 10 mkoa wa Geita, kwanini ukaja huku(Dar-Kibamba) ambako hukufanya chochote kwa ajili yao? Hofu yako ilikuwa nini Geita?

Kamata: Sikuwa na hofu isipokuwa katika majimbo yote ya Geita, yote yalikuwa na wabunge ambao ni wazuri, kaka zangu na wanafanya kazi nzuri kiasi huoni sababu ya kwenda kusukumana na Dotto Biteko, Kanyasu au uende kwa Msukuma

Mwandishi: Kwa mantiki hiyo unataka kutuambia Kibamba hakukuwa na mbunge anayefanya vizuri?

Kamata: 'Exactly' mimi ni CCM mbunge aliyekuwepo wakati ule alikuwa ni wa upinzani na niliona ilikuwa ni wakati sahihi wa kurudisha jimbo letu kwenye chama cha mapinduzi, Kibamba nilienda kwasababu jimbo lilikuwa upinzani na kule kwetu hakuna jimbo lolote lilikuwa upinzani, majimbo yote yalikuwa ni CCM na yalikuwa na wabunge wanapendwa

Mwandishi: Unataka kuwaaminisha watanzania, majimbo ambayo yanaongozwa na wabunge wa CCM ndio yanayopofanya vizuri

Kamata: Sijasema hivyo, inawezekana yapo majimbo ya wabunge wa CCM na hayafanyi vizuri lakini kwa mkoa wangu wa Geita wana sifa nzuri na wanafanya kazi nzuri.

Mwandishi: Ni kweli kwamba wanawake wengi walioko kwenye siasa wanatumika kwenye rushwa ya ngono?

Kamata: Mimi kama mbunge wa viti maalum nilipigiwa kura na wanawake wenzangu, sasa ukiniambia kuna rushwa ya ngono sijui hata inakuwaje lakini sidhani, siwezi kulijibia hilo.

Mwandishi: Hivi karibuni tulishuhudia andiko lako katika mitandao ya kijamii ambalo liliibua hisia za watanzania na nikiona kila mmoja akiipost kwa walichodai umetoa povu, nini ilikuwa dhamira ya andiko lako?

Kamata: Ningeshangaa usingeniuliza hilo swali, dhamira ya andiko langu ilikuwa ni kukumbusha watanzania wenzangu au mtu yoyote ambae angepita kwenye 'page' yangu kwamba hapa duniani sio mahali petu pa kudumu, tujitahidi kusihi vizuri ili tutakapoondoka tuache historia nzuri kwasababu hakuna atakaebaki hapa, hapa tumepewa muda mchache tu lakini katika muda huu mchache tuyafanye yale mzee Mwinyi amekuwa akituambia, kwamba maisha ni hadithi tu.

Mwandishi: Kwanini viongozi wengi wanatumia nafasi zao vibaya kama ulivyosema?

Vicky Kamata: Nadhani ni hulka ya mtu mwenyewe, walikuwepo viongozi ambao wapo kwa ajili ya kutesa watu wa Mungu na Mungu alijua jinsi ya kushughulika nao leo tunawasoma kama historia.

Mwingine anapambana apate madaraka fulani ili amkomeshe fulani.

Mwandishi: Athari yake katika taifa ni nini?

Vicky Kamata: Athari yake ni kutengeneza Taifa la watu wanafki, waongo, wavivu wasiojiamini na madhara yake pia ni makubwa sana kwasababu hakuna kitakachoendelea, nchi itasimama.

Juzi nimemuona askofu Arusha akimwambia mama, mama tibu majeraha, kwanini amesema hivyo? Ina maana kuna waliojeruhiwa, mimi nataka kuongezea hapo kwa askofu, sio mama atibu majeraha ila ninawaomba viongozi wa dini wagange mioyo ya watu wamejeruhiwa kwasababu ile post yangu imenipa vitu vya ajabu, nimepigiwa simu nyingi sana, kila mtu anaelezea maumivu aliyopitia katika kipindi fulani.

Kwa hiyo nataka kusema kwamba, sio mama Samia, mama Samia hawezi kutibu majeraha lakini viongozi wa dini wanaweza kutibu majeraha ya watu walioumizwa.
Kweli tusiwaumize watu wa mungu hapa dunian tunapita tu hivyo vyeo si chochote itabaki hadithi tu na wale waliojifanya kuwaumiza wat ss hv imebaki stori
 
Mbona yeye Vicky alimuumiza sana Mama yake Mzazi mpaka anakufa hawaelewani? Alishindwa nini kureconcile na Mama yake aliyemzaa,huyu ndiyo wa kuja kutupigia kelele hapa za kuponya madonda.Aende kwanza akamake peace na familia ya Umamani kwake ndiyo aje hapa kupiga hizo porojo za kuponya madonda.
 
Mali, kwamfano ghorofa. Halaf anasema huyo mtoto mmoja alizaa na likwe kabla hajamuoa. Yaan amekua kigeu geu. Sikujua iliishiaje. Kuna mali anasema eti alichuma yeye.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app

Yule mtoto wa kike hadi jina kampachika la Likwelile,wakati Baba wa mtoto anajulikana.Alibanwa athibitishe kama Marehemu ni Biological Father wa mtoto akashindwa,kaulizwa kama alikuwa adopted legally aonyeshe uthibitisho pia napo ikawa hola.Asivyokuwa na aibu alikuwa anataka hadi yule mkubwa achukue ubin wa Likwelile.
 
Back
Top Bottom