Elections 2010 Vicky Kamata kuongea lugha moja na Sugu Mjengoni?

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Kuna njia nyingi za kuingia mjengoni na siyo lazima uwe na kundi maalum la uwakilishi. Hatimaye yule dada afisa wa benki kuu na mburudishaji wa wakuu, asiyeogopa hadhira katika mavazi yake kaingia mjengoni. Sina uhakika kama ni mwakilishi wa kundi la wasanii, kinamama au ndo yaleyale....

Hongera Vicky, tunakusubiria bungeni.
 
Mbona heading inamtaja Gugu lakini maelezo hayamwongelei kabisa?
Anyway, hapo kwenye red nilikuwa sijui ati!!
 
Miaka mitano ya kuibiwa hoja na fikra sio mingi.
waburudishaji wengi wa wakubwa wameingia mjengoni. tuone hizo nyendo za hulka zao ili tuwazodoe
 
kuna njia nyingi za kuingia mjengoni na siyo lazima uwe na kundi maalum la uwakilishi. Hatimaye yule dada afisa wa benki kuu na mburudishaji wa wakuu, asiyeogopa hadhira katika mavazi yake kaingia mjengoni. Sina uhakika kama ni mwakilishi wa kundi la wasanii, kinamama au ndo yaleyale....

Hongera vicky, tunakusubiria bungeni.
spiced bunge !
 
8D6U4358.jpg
 
Vicky Kamata, si nasikia kazaa na Bosi, kapelekwa Uingereza kusoma, kajifungulia huko mtoto na sasa anafanya BOT, hajakaa vizuri huyo kashakuwa Mbunge lol!
 
Kuna njia nyingi za kuingia mjengoni na siyo lazima uwe na kundi maalum la uwakilishi. Hatimaye yule dada afisa wa benki kuu na mburudishaji wa wakuu, asiyeogopa hadhira katika mavazi yake kaingia mjengoni. Sina uhakika kama ni mwakilishi wa kundi la wasanii, kinamama au ndo yaleyale....

Hongera Vicky, tunakusubiria bungeni.

Ndo yaleyale manini? mh na wewe kufuatilia mambo ya wakub..
 
Inabidi umuombe sugu radhi. Sugu ni mtu makini, mwanaharakati, na mtetezi wa haki. Iweje leo aongee lugha moja na vicky kamata ambaye si mwanaharakati bali ni mtu wa kujipendekeza na kujikomba kwa viongozi? Kumbuka vicky hana tofauti na ephaim kibonde. Pia nafasi ya vicky amepewa zawadi au hongo kama vile wewe unavyotoka safari unamnunulia demu wako ch*pi. Wewe unahonga bikin wenzio wanahonga kodi za walalahoi!!!yangu macho
 
Huyo Vivky Kamata hata sijui kwanini kapewa ubunge!!

Labda akiingia mjengoni atu prove wrong
 
Vigezo vingine vya kuingia mjengoni vinasikitisha mno

Tulipokuwa chuo kikuu wasichana waliokuwa wakipanulia miguu lecturers walikuwa wakitaniwa digrii za chupi holders........Je? na wabunge waliopata nafasi hizo kwa kupanua miguu nao tuwaite wabunge wa kuvua chupi? Ni mtazamo tu.....shabiki changia maoni yako,......... kweli tanzania na umaskini ni kama samaki na maji!
 
Naomba nirudie maneno ya mdau pale juu kwamba Vicky Kamata ni 'mburudishaji wa wakuu'!!
 
Lakini hapo hata mie ningekuwa m/kiti wa chama uzalendo ungenishinda.....lakini nisingehonga ubunge huko nikuwadhalilisha watanzania, ningempangia nyumba kule mikocheni asitoke nje, kazi yeye inakuwa moja tu, kutoa burudani basi!
 
Back
Top Bottom