SUTU BUTUGURI
Member
- Mar 8, 2011
- 22
- 3
MH VICK KAMATA MBUNGE WA CCM na wakala wa mafisadi tunayemfahamu fika, katumwa kuimba, na kaimba na tumemsikia, kwa sura anavutia lakini hatumpendi kwa kuwa ni wakala wa mafisadi.
VICK kaimba, "... sikumbuki kuku (niyeiba) ... nakumbuka msamaha wa mfalme (niyemuibia)...". Bahati mbaya kuku aliyeibwa kupitia RICHMOND na dada yake DOWANS siyo wa mfalme, ni wa wananchi (WATANZANIA). Maadamu waliokutuma, LOWASSA na ROSTAMU, hawajaomba msamaha kwa WATANZANIA, hakuna msamaha ...