Vichwa vya treni kwa ajili ya SGR vyaanza kushushwa Mombasa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,228
50,369
Picha nzima ya SGR inaenelea kukamilika, mambo yanatendeka, vifaa vinashushwa.....

1484775_0.jpg

KPA and Kenya Railways officials witness the offloading of the first batch of SGR freight locomotives at the Port of Mombasa on Monday, January 9. /ELKANA JACOB

The first batch of locomotives that will ply the Standard Gauge Railway, whose construction is almost complete, arrived in the country on Monday.

Kenya Ports Authority managing director Catherine Mturi-Wairi led the authority's staffs in offloading the first six locomotives after they docked at berth 11 in Mombasa.

The locomotives, sourced from China, was offloaded onto a rail track built at the berth and was still covered in white tarpaulin and will be unveiled by Transport CS James Macharia.

Kenya Railways managing director Atanas Maina said that the second batch of locomotives will arrive in the country next month.

"The production of passenger coaches is ongoing and are expected in the country next month or in March. We shall have four freight engines and two passenger locomotives," he said.

He said that over 600 kilometres of the SGR rail track, which includes a marshaling yard and train station exchanges, had been completed.

Earlier, Maina said KR had procured a total of 56 locomotives, 40 passenger coaches and 1,620 wagons as part of the rolling stock.

"The new railway line constitutes the first phase of the SGR project that aims to connect Kenya, Uganda, Rwanda and South Sudan," he said.

First batch of SGR locomotives arrive at Mombasa Port from China
 
Safi sana machalii, mkulu wetu akikuja kwenu next time mtell hata alete na kwetu 2
 
MNAJITAHIDI SANA KUSEMA KWELI, ILA NAWAPA TAHADHALI KUHUSU DIESEL ELECTRIC LOCOMOTIVES ZA KICHINA ZANAZO HUNDWA KWENYE KIWANDA CHA DALIAIN, LABDA MZITUMIE KUVUTA MACOACH YA KUBEBA ABIRIA AU SHUNTING LAKINI SIYO MASUALA YA FREIGHT SERVICES - NAWATADHALISHA KWA NIA NZURI TU.

MAINLINE LOCOMOTIVES ZA KUWASAIDIA KWENYE UBEBAJI MIZIGO MIZITO/MIKUBWA NA AMBAZO HAZINA MATATIZO KWENYE MASUALA YA KUHUNGUA HOVYO TRACTION MOTORS NA CONTROL SYSTEMS NI ZILE ZINAZO HUNDWA NA GENERAL ELECTRIC (D.E U30C AU SERIES NYINGINE ), KRUPP KUTOKA UJERUMANI(UNDER LICENCE YA GENERAL ELECTRIC) AU BOMBADIER KUTOKA CANADA (NAFIKIRI HAWA NI GENERAL MOTORS BRANCH YA CANADA, SIKUMBUKI VIZURI).

WACHINA WAJENGE RELI NA MADARAJA, STATIONS, ROLLING STOCK(COACHES NA WAGONS) HAPO WAPO VIZURI SANA LAKINI SUALA LA LOCOMOTIVE BADO WANA ANGAHISHWA NA TEETHING PROBLEMS, SERIKALI YENU INUNUE CHACHE KWANZA MZIJARIBU KAMA WANAWAPATIA KAMA MSAADA SAWA, LAKINI KUMBUKA FOREWARNED....
 
Labda utuambie kasoro zake hizi diesel electric locomotives. Na ujitahidi kujieleza kama vile mhandisi. La sivyo uwe kimya uone mwenyewe kwa mshangao vitu vikitendeka.
 
Labda utuambie kasoro zake hizi diesel electric locomotives. Na ujitahidi kujieleza kama vile mhandisi. La sivyo uwe kimya uone mwenyewe kwa mshangao vitu vikitendeka.

Nafikiri tatizo lako ni kutaka kuleta ubishi simply kasema Mtanzania ni hilo tu linakusumbua na kama wewe ni Mtanzania basi una tatizo si bure!

Wahandisi wa DEs nchini Kenya watanielewa nilicho maanisha - sikusema kuna tatizo kwenye prime mover wala generator niligusia upande wa transmission.
 
Safi sana majirani, pigeni kazi sisi bado Kwanza tunakimbizana na kina lema na wenzake, hiyo SGR toka kampeni mkuu Ndio ilikuwa wimbo wake mpaka sasa bado wimbo tu hakuna hata km 1 iliyowekwa, ccm oyeee
 
Published on 8 Jul 2015

High speed trains finally in Kenya?!

The railway line passes through eight counties namely Mombasa, Kilifi, Kwale, Taita Taveta, Makueni, Kajiado, Machakos and Nairobi. The laying has already been done at Mtito Andei. This is after the China Road and Bridge Corporation finalised construction of camps and raw material factories along the proposed line

Source: Agri Business
 
Video ya Kuedit Kumbe
 
Nafikiri tatizo lako ni kutaka kuleta ubishi simply kasema Mtanzania ni hilo tu linakusumbua na kama wewe ni Mtanzania basi una tatizo si bure!

Wahandisi wa DEs nchini Kenya watanielewa nilicho maanisha - sikusema kuna tatizo kwenye prime mover wala generator niligusia upande wa transmission.
The last time I checked tz wanataka sgr pia... Soo Anza kujihadhari kwanza
 
View attachment 458281View attachment 458282
ohh no!! jamani the repainted worldwar relics have a maximum speed of 100km/hr they are no longer in use in the civilised world! Yaani bajaji boxer bodaboda is faster than the crap!!
Naona wameletewa vichwa vya treni muonekano wake na spidi sawa kabisa na matatu za Nairobi bila mwendo kasi kama walivyokuwa wanafikiria na kujikweza Afrika Mashariki na Kati.
 
Back
Top Bottom