Vichwa Muhimu Duniani.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Rais wa Marekani alipata muda wa kukaa na hivi vichwa......sijui walikuwa wanaongea nini...namwona Steve Jobs na CEO wa Face Book

View attachment 38580

View attachment 38581

The executives who attended the dinner were:

Carol Bartz, President and CEO of Yahoo!
John Chambers, CEO and Chairman of Cisco Systems
Dick Costolo, CEO of Twitter
Larry Ellison, CEO of Oracle
Reed Hastings, CEO of Netflix
John Hennessy, President of Stanford University
Art Levinson, Chairman and former CEO of Genentech
Steve Jobs, CEO of Apple
Eric Schmidt, Chairman of Google
Steve Westly, Managing Partner and Founder of The Westly Group
Mark Zuckerberg, President and CEO of Facebook

Ikitokea unapata muda wa kukaa nao mezani ungeuliza swali gani???
 
Kwa jinsi Obama alivyo orator naamini hakukosa la kuuliza........ RIP Steve Jobs - the tech titan...........
 
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............
 
ndugu yangu hata hujakosea....prezida wetu hana muda wa kukaa na watu kama hao (kwa Tanzania) ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya na kina Maji marefu anao....
 
Rais wa Marekani alipata muda wa kukaa na hivi vichwa......sijui walikuwa wanaongea nini...namwona Steve Jobs na CEO wa Face Book

View attachment 38580

View attachment 38581

The executives who attended the dinner were:

Carol Bartz, President and CEO of Yahoo!
John Chambers, CEO and Chairman of Cisco Systems
Dick Costolo, CEO of Twitter
Larry Ellison, CEO of Oracle
Reed Hastings, CEO of Netflix
John Hennessy, President of Stanford University
Art Levinson, Chairman and former CEO of Genentech
Steve Jobs, CEO of Apple
Eric Schmidt, Chairman of Google
Steve Westly, Managing Partner and Founder of The Westly Group
Mark Zuckerberg, President and CEO of Facebook

Ikitokea unapata muda wa kukaa nao mezani ungeuliza swali gani???
Ukimuondoa Obama aliye mmatumbi wengine wote ni weupe naona wamatumbi wako studio wakiaandika vesi ,yo rap man na wengine wanapata stimu ya majani ya bob
 
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............
hahaaaaaaaaaaaaaaaa umeniua na kicheko huku kumbe mwamjua president wenu kwann hamumutoi sasa hapo kwa kiti mukaweka mwingine
 
ndugu yangu hata hujakosea....prezida wetu hana muda wa kukaa na watu kama hao (kwa Tanzania) ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya na kina Maji marefu anao....
wale wanamtabiria ushindi na kumpa uhakika ka mtu akimpinga anafufilia mbali so lazima awapende sana na kuwaheshimu munoooooooo..................R.I.P shehe yahaya
 
Unachukua skwea ruti, sasa hii skwea ruti una iskwea eee!, ngoja tuiandike ubaoni, sasa hapa kwenye skwea una iskwea hii skwea ruti, tuko pamoja...ghafla kengele ikapigwa ticha anaacha homu weki ya skwea ruti kwa madenti wahangaike nayo.

Shule zetu za TAKA or sori za KATA
 
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............

hahahahahaha! Dah, jamaa kazi anayo.
 
Unachukua skwea ruti, sasa hii skwea ruti una iskwea eee!, ngoja tuiandike ubaoni, sasa hapa kwenye skwea una iskwea hii skwea ruti, tuko pamoja...ghafla kengele ikapigwa ticha anaacha homu weki ya skwea ruti kwa madenti wahangaike nayo.

Shule zetu za TAKA or sori za KATA

Hahahahahaha!!!!!Nakumbuka nilivyokuwa bongo wakati WEF, hili tangazo lilikuwa linapita redioni na nilikuwa nacheka sana, watu niliowaleta kutoka US walikuwa wananishangaa nacheka nini...duh!
 
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............

ndugu yangu hata hujakosea....prezida wetu hana muda wa kukaa na watu kama hao (kwa Tanzania) ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya na kina Maji marefu anao....
Mbona Mnamkashifu Rais wetu? Mtakula BAN
 
ndugu yangu hata hujakosea....prezida wetu hana muda wa kukaa na watu kama hao (kwa Tanzania) ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya na kina Maji marefu anao....

For your information, President wetu ni personal friend wa kichwa kikubwa zaidi ya hivyo vichwa viliopo hapo, Bill Gates. Au hujui hilo?
 
Huyo Bill Gate sio kichwa..kwenye mambo ya uvumbuzi..yupo kibiashara zaidi ndo maana hata hapo hayupo
 
Unanchekesha, kama humjui bill gates, m google kidogo ujuwe ni nani alifanya mapinduzi ya softiweya ya komyuta duniani. Biashara wala haijui anaingiza michuzi kwa uvumbuzi wake wa awal.
 
Unanchekesha, kama humjui bill gates, m google kidogo ujuwe ni nani alifanya mapinduzi ya softiweya ya komyuta duniani. Biashara wala haijui anaingiza mihuzi kwa uvumbuzi wake wa awal.

Bill Gate hajafanya chochote...aliyefanya kazi kubwa ni Gary Kildal....kutengeneza DOS (disk Operating system) mabosi wa IBM waliposhindwana nao kibiashara (walipanga mkutano, siku ilipofika jamaa akaw anacheza na mbwa wake) wakamtumia Bill gate kupata hiyo Disk ikawa sasa ni issue ya Bussiness, walitaka Bill gate awauzie hiyo Disk akakataa akawakodishia...ndia maana mpk leo Bill ana haki miliki ya Windows... kama hujui uliza!!
 
Bill Gate hajafanya chochote...aliyefanya kazi kubwa ni PAUL KIDNEL..kutengeneza DOS (disk Operating system) mabosi wa IBM waliposhindwana nao kibiashara wakamtumia Bill gate kupata hiyo Disk ikawa sasa ni issue ya Bussiness, walitaka Bill gate awauzie hiyo Disk akakataa akawakodishia...ndia maana mpk leo Bill ana haki miliki ya Windows... kama hujui uliza!!

Wacha hizo weyee, soma hapa upate kumjuwa Bill gates ni nani, huyo Paul Kidnel anakuja katika historia ya baadae kabisa ya BG:

Bill Gates - Wikipedia, the free encyclopedia

Halafu tazama score yake ya SAT halafu kai compare na hao waliokaa hapo score zao za SAT ndio utajuwa nani ni kichwa zaidi. Unanchekesha!
 
Back
Top Bottom