Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,310
45,619
  1. Mohamed Janabi- Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
  2. Aidan Eyakuze - Gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
  3. Maxence Melo na Mike Mushi - Waanzilishi wa JamiiForum
  4. Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu - Wachekeshaji.
  5. Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila - Wanasheria
  6. Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu - Wanahabari.
  7. Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi - Wanaharakati
  8. Waanzilishi wa Max malipo
  9. Ruge Mutahaba na Reginald Mengi - Sanaa,burudani na tasnia ya vyombo vya habari.
  10. Mbwana Ally Samatta - Mcheza mpira wa miguu na Filbert Bayi -Mwanariadha
  11. Richard Mabala na Rakesh Rajani - Tasnia ya elimu
  12. Ali Mufuruki, Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo - Wafanyabiashara wanamazingira.
  13. Masoud Kipanya, Gado na James Gayo - Wachora katuni
    14.Shaaban Robert,gwiji wa muda wote wa lugha ya Kiswahili.
    15.Wazee wazalishaji wa umeme wa maji Njombe na Andron Mendes wa Kopa Gas
Ongeza wengine
 
Back
Top Bottom