Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,315
- 45,627
- Mohamed Janabi- Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
- Aidan Eyakuze - Gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
- Maxence Melo na Mike Mushi - Waanzilishi wa JamiiForum
- Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu - Wachekeshaji.
- Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila - Wanasheria
- Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu - Wanahabari.
- Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi - Wanaharakati
- Waanzilishi wa Max malipo
- Ruge Mutahaba na Reginald Mengi - Sanaa,burudani na tasnia ya vyombo vya habari.
- Mbwana Ally Samatta - Mcheza mpira wa miguu na Filbert Bayi -Mwanariadha
- Richard Mabala na Rakesh Rajani - Tasnia ya elimu
- Ali Mufuruki, Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo - Wafanyabiashara wanamazingira.
- Masoud Kipanya, Gado na James Gayo - Wachora katuni
14.Shaaban Robert,gwiji wa muda wote wa lugha ya Kiswahili.
15.Wazee wazalishaji wa umeme wa maji Njombe na Andron Mendes wa Kopa Gas