Vichochoro Temeke, Sijawahi kuona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vichochoro Temeke, Sijawahi kuona

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Biohazard, Aug 24, 2011.

1. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#1
Aug 24, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Eneo la Temeke limejengeka kwa plan toka ukoloni kiasi kwamba mitaa yake imekua na vichochoro virefu sana nimebahatika kukaa kwa kipindi cha wiki moja ila mambo yanayojiri kwenye vichochoro hivyo tena vya muhimu kiasi kwamba huwezi kukwepa ni ya ajabu sana.

Wakazi wa maeneo hayo wamebuni na kutengeneza vyumba sambamba na vichochoro mwanzo hadi mwisho na kupagisha wasichana na wazee ambao hujiuza masaa ishirini na nne cha ajabu vichochoro hivyo vimetawaliwa na wanawake wa kabila moja yani wahaya kitu ambacho nimeshindwa kuelewa wanatoka wapi kwa kweli inasikitisha sana. Unapopita unasikia nyimbo za saida Kalori pamoja na mazungumzo ya kilugha mara nyingi hawatumii kiswahili.

Vichochoro hivyo ni zaidi ya vitatu, Kimoja ni Temeke Hospital kama unakwenda Yres na vingine ni mitaa hiyo hiyo ya jirani .shoo tym ni Elfu mbili hadi tatu with no room cost . Mwenyezi Mungu naomba utuepushe kwani wanapita watoto wadogo, wanafunzi wazee na vijana kwa kweli inasikitisha na biashara hiyo cjui kama serikali ya mtaa iklishachukua hatua. Cha ajabu wameanga na wanaishi maisha ya kawaida kama mtu aliyepamnga popote mtaani yani vyumba vina TV,Redio na kila kitu.

Ukipita Unakuta milango wazi wamekaa Nusu Uchi. Ifikapo Usiki Vichochoro vimepambwa kwa Taa za Rangi zitokazo katika vyumba hivyo. Nitapiga Picha hiyo mitaa kwa siri then nitapost.

2. nguvumali

nguvumali JF Bronze Member

#2
Aug 24, 2011
Joined: Sep 3, 2009
Messages: 4,864
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
Ngoja weekend Ijayo nikavinjari pande hizo

3. figganigga

figganigga JF-Expert Member

#3
Aug 24, 2011
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 14,971
Likes Received: 6,601
Trophy Points: 280
cha kufurahisha wamejiwekea utaratibu wa kutogombania wateja.kila mtu anakaa mlangoni kwake na kipedo,wewe unapita mwanzo mwisho ambaye atakuvutia unaingia kwake.wenyewe wanakuambia ile ni office kama zilivyo ofisi nyingine.
masharti;
.malipo kwanza
.kutumia condom
.usimwambie awe wako peke yako kama utakuta mtu mwingine subili atoke
.usimuonee wivu
.hamna kuvua suruali coz sio kwako
.fanya kilichokuleta uondoke.
Mwisho wa siku utasikia,karibu tena shemeji.
MIA

4. Kipis

Kipis JF-Expert Member

#4
Aug 24, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 493
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Duh! Sijui niseme wewe ni mdau pia maana mpaka bei unazijuwa! We mkariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!

5. Kunta Kinte

Kunta Kinte JF-Expert Member

#5
Aug 24, 2011
Joined: May 18, 2009
Messages: 3,660
Likes Received: 215
Trophy Points: 160
Nimeipenda hiyo, hakuna kuitana mpenzi sijui nini, aku! usije ukajimilikisha!!!

6. Pretty

Pretty JF-Expert Member

#6
Aug 24, 2011
Joined: Mar 19, 2009
Messages: 2,582
Likes Received: 36
Trophy Points: 135
.........ehhhhh!!! Makubwaaa, hivi ni kweli au story tu. Nashindwa kuamini sijui kwa nini!!

7. BONGOLALA

BONGOLALA JF-Expert Member

#7
Aug 24, 2011
Joined: Sep 14, 2009
Messages: 13,782
Likes Received: 2,392
Trophy Points: 280
Mwananyamala A karibu na hospital pia wapo wahaya wa namna hiyo!akipita barabarani huwezi jua kama huwa anafanya biashara ile.wengine ni wake za watu wenye heshima kabisa

8. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#8
Aug 24, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Hiyo ndo hali halisi ukifika utayajua hayo yote bila kupenda, huo mtaa unaweza kupita mara ya kwanza ukastuka lakini usielewe kinachoendelea ila for the second tym lazima ukae sawa.

9. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#9
Aug 24, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Laivu bila Chenga Figganigga kama anatambua vizuri. Kama huamini nenda kituo cha temeke hospitali uliza "natafuta ndugu zangu wa Bukoba waliniambia nikifika hapa nikiuliza napelekwa"

10. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#10
Aug 24, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Karibu sana

11. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#11
Aug 24, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
lete picha hapa tuzione..................pia usisahau kupiga akati ndo wananiniliu

12. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#12
Aug 24, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Amini Usiamini

13. B

Bucad Senior Member

#13
Aug 25, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 120
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Nahisi wewe ni mgeni na dar hii na kama sio mgeni basi lazima utakuwa umekulia kwenye mboga saba! Maana sioni point yako ya msingi ya kuishangaa temeke wakati hayo mabanda yametapakaa kila kona ya jiji hili. Mwanyamala hospital yapo kama ulivyoambiwa,buguruni pia,mazense nako,keko toroli kama kawa,sokota maeneo ya sugar ray nako ndani ya nyumba tena uchochoro wao ni mrefu balaa, bila kusahau double kibin hiyo ni tandika yaani hapo ni kwa uchache sana lakini yapo mengi katika wilaya zote tatu halafu kwa taarifa yako tu wahaya walikuwa waanzilishi tu siku hizi hata kabila lako nina uhakika mia kwa mia halikoseni kwenye hayo mabanda(kama unabisha litaje halafu nikupeleke ukashuhudie mwenyewe) tembea babu sio kushangaa vitu ambavyo sio vya kushangaa!

14. s

strit boy Member

#14
Aug 25, 2011
Joined: Aug 24, 2011
Messages: 87
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mi huwa napenda tu kuwaangalia lakini sitaki kunanilii nao

15. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#15
Aug 25, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

shemeji ulishawatembelea nini?

16. figganigga

figganigga JF-Expert Member

#16
Aug 25, 2011
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 14,971
Likes Received: 6,601
Trophy Points: 280

nakuhakikishia sikukuu inayokuja bei itampanda na kila mlango utakuta umefungwa.utakua unasikia miguno tu.maweee...!!.eti"hujamaliza tu..mi tayari.fanya haraka haraka uondoke kumekucha.mia

17. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#17
Aug 25, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,463
Trophy Points: 280
acheni kujihusisha na mambo yasiyo wahusu...
hao wahaya wapo toka enzi za nyerere.....
wanatoa huduma kwa vijana ambao otherwise wangeenda kubaka mabinti na vitoto huko mitaani..

leave them alone....
ulete picha inahusu nini?????

18. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#18
Aug 25, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Wino mwekundu ndio jibu ucpate umiza kichwa ndo nimeona hiyo industry for the 1st tym. Hongera kwa kujua kona hizo za wauza miili then unadai ndo umelifahamu jiji la dar. Vile vile inaonekana ww ndo mteja wao mzuri manake unajua maeneo mengi ya biashara hiyo. Kabila langu ni Muhaya pia ndo maana inaniuma coz 2nadhalilishwa.

19. Biohazard

Biohazard JF-Expert Member

#19
Aug 25, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 2,002
Likes Received: 286
Trophy Points: 180
Inayowahusu... pia naomba samahani kwa kuingilia wapangaji wako.

20. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#20
Aug 25, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,463
Trophy Points: 280
wewe unaonekana mtoto sana..
unashangaa wahya kujiuza wakati ni toka nyerere wanajiuza?

dunia nzima kuna mitaa ya wanawake kujiuza...
uliza waliosafiri nini maana ya red light district.......

Loading...