tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,391
- 3,660
Kiukweli bodi ya ligi wanatakiwa waboreshe kidogo tu maana ukisema timu za ligi kuu zicheze na za daraja la kwanza utegemee wa daraja la kwanza kushinda ni vigumu sana.Timu mbili za juu kwenye ligi daraja la kwanza zinapanda moja kwa moja, na Timu mbili za chini za ligi kuu zinashuka moja kwa moja.huu ndio utaratibu uliokuwepo zamani na mwaka huu umeendelezwa.
Kilichoongezeka ni kwamba tff wameongeza wigo wa timu zingine mbili (iliyoshika nafasi ya 3 na 4) za ligi daraja la kwanza kupanda ligi kama watazifunga timu za ligi kuu zilizoshika nafasi ya 3 na 4 kutoka mkiani.
Kwahiyo ukimaliza nafasi ya 1 na 2 kwenye ligi daraja la kwanza unapanda moja kwa moja ligi kuu, ila ukishika nafasi ya 3 na 4 inabidi ucheze play off kupanda
Mfano mzuri upon kwenye FA angalia kama kuna timu ya daraja la kwanza ambayo imewahi fika hata nusu fainali ?
Kwanini timu za daraja la kwanza zianzie nyumbani zote?