Vichekesho kumi za leo teh teh teh!!!

"mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!

Tuwe wazi kwa watoto wetu tuu
 
Searching...100%Loading...0%Network failed !Full marudio
jf ina wanachama wapya kila siku....ni kama shule....kila mwaka kuna darasa jipya...ni mwanafunzi mwehu tu wa drs la pili atakayesemamwl. wa drs la kwanza amerudia kufundisha mamboya mwakajana.ukiona topiki imejurudia tambaa... waachie wengine wasome....pia kumbuka kuwa chini ya jua hakuna kipya.....
 
mkuu nimeipenda hii maaana ndan mwake ipo fact,
""Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwnn tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?""

hiyo iko poa kabisa unabarehe na kumi na tano ndoa miaka ishilini na nane hapo katikati maisha yanaendaje?
 
Nimeangalia picha zenu, e2themiza na Mikatabafeki nyie ni ndugu??? ha ha ha ha ha !!!
 
Nimeangalia picha zenu (Avatar), e2themiza na Mikatabafeki nyie ni mapacha??? ha ha ha ha ha !!!
 
Back
Top Bottom