Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,720
- 21,779
wapo wanaootaabika kwenye ndoa bila kujua tatizo nini
wapo wanaofikiri waume zao wamelogwa na wachawi jinsi walivyooana na jinso maisha wanavyoishi sasa ni tofauti kabisa,wapo wenye akili zao wanakimbilia pale corner bar kufwata wale watoto wadogo cd/aka vicheche
ukifika pale unaona watu wenye heshima zao na wwengine wana suti zao wako na katoto kadogo kamevaa nusu chupi wakifanya makubaliano kuelekea kuzini,,,je ni lazima kuishi na hawa vicheche??je hata kama kuna matatizo kwenye ndoa unaihisi vicheche ni tatizo la ndoa yako,....
acha,zinaa itakuletea magonjwa majumbani mwako;kama una matatizo ya ndoa mlilie yesu mwambie mungu huyu mke ni wangu nimetoa mahari mwenyewe iweje tunaishi hivi;;utaombewa na wachungaji mia ;lakini kama ujaomba ufahamu yawezekana tatizo ni wewe;yawezekana ukoo wenu ndoa azikai kwa amani huo ni mlango unaitaji kupita,wasimamizi ni wabaya katika maisha ya kila siku,wanaamua hatima yako ya maisha,anza kmuuliza mungu tatizo nini;akupe ufahamu utajua jinsi ya kumaliza na familia yako
achana na vicheche;mademu awasaiddii wala kupunguza matatizo yako
GMORNING