Vicheche ni Soln ya kwenye ndoa??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
36,984
Likes
6,625
Points
280

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
36,984 6,625 280
wapo wanaootaabika kwenye ndoa bila kujua tatizo nini
wapo wanaofikiri waume zao wamelogwa na wachawi jinsi walivyooana na jinso maisha wanavyoishi sasa ni tofauti kabisa,wapo wenye akili zao wanakimbilia pale corner bar kufwata wale watoto wadogo cd/aka vicheche
ukifika pale unaona watu wenye heshima zao na wwengine wana suti zao wako na katoto kadogo kamevaa nusu chupi wakifanya makubaliano kuelekea kuzini,,,je ni lazima kuishi na hawa vicheche??je hata kama kuna matatizo kwenye ndoa unaihisi vicheche ni tatizo la ndoa yako,....
acha,zinaa itakuletea magonjwa majumbani mwako;kama una matatizo ya ndoa mlilie yesu mwambie mungu huyu mke ni wangu nimetoa mahari mwenyewe iweje tunaishi hivi;;utaombewa na wachungaji mia ;lakini kama ujaomba ufahamu yawezekana tatizo ni wewe;yawezekana ukoo wenu ndoa azikai kwa amani huo ni mlango unaitaji kupita,wasimamizi ni wabaya katika maisha ya kila siku,wanaamua hatima yako ya maisha,anza kmuuliza mungu tatizo nini;akupe ufahamu utajua jinsi ya kumaliza na familia yako

achana na vicheche;mademu awasaiddii wala kupunguza matatizo yako

GMORNING
 

Penny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
577
Likes
9
Points
35

Penny

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
577 9 35
Hapa hutapata hata mashabiki. Baeleze baelewe. Viewers 65,hamna comments!
Kwa sababu hawapendi ukweli...ila ukweli wenyewe ndio huo. Hamna solution zaidi. Mwenye kusikia na asikie, mwenye kuelewa na aelewe.
Thanks once again for your useful post.
 

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,851
Likes
22,941
Points
280

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,851 22,941 280
Sio kila anaetoka nje na vicheche ana tatizo
la ndoa,

kwani tiger woods alikuwa na tatizo la ndoa?
 
Joined
Oct 28, 2009
Messages
13
Likes
0
Points
0

pruzangi

Member
Joined Oct 28, 2009
13 0 0
ni
kweli vicheche noma vinaharibu hata program ya maisha ukipiga hesabu ya pesa ambazo umespend kwa ajili ya vicheche zinatosha kumusomesha mudogo wako the most expensive school in Tz
 
Joined
Oct 14, 2009
Messages
24
Likes
0
Points
0

KAY GEE

Member
Joined Oct 14, 2009
24 0 0
penny acha uvivu wa kufikiria ama usikimbizane na muda ukapoteza majadala, matatizo ya ndoa tutofautishe na matatizo ya familia, ila uchoyo wa kuelimishana na kuingia kwenye mahusiano kwa mitazamo tofauti kwa walengwa wenyewe, muda wa ndani anaweza kufanya na kukupa vitu adimu endepo kama mtawekana wazi, tuache kubaniana na tuwe wazi hasa katika tendo hili la ndoa.
 

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
9,961
Likes
419
Points
180

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
9,961 419 180
Wala si solution, ni ukosefu wa mawasiliano mazuri ndani ya ndoa, wengi tunaogopana kuambiana ukweli, nini unataka kwenye malavi davi, utasikia mtu anaenda lalamika nje ya ndoa badala ya kumpasha mwenzi wake live
 

Shingo

Senior Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
127
Likes
9
Points
0

Shingo

Senior Member
Joined Mar 26, 2009
127 9 0
Matatizo kwenye ndoa yapo. Vicheche si solution, lakini hakuna solution ambayo ni foulproof. Matatizo ni kuwa mmetofautiana. Kila mmoja akashikilia msimamo wake! Ukiona watu wengi wanajazana kwa vicheche usifikiri wanapenda au ni wajinga! KUA UYAONE
 

Forum statistics

Threads 1,189,736
Members 450,798
Posts 27,645,707