Vichaa acha tu.

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,538
Likes
118
Points
160

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,538 118 160
Kichaa mmoja alikua yuko wodini juu ya baiskeli aliyopewa na dokta wake.Baiskeli ikawa imewekwa kwenye stendi,kwa hiyo akawa anaendesha iko palepale.Dokta akawa anamuangalia anaendesha kwa kasi mno baada ya mda akatulia.Dokta kuona mtu amekaa mda mrefu juu ya baiskeli bila kufanya lolote,akamfata akamuuliza.
"Vipi mbona huendeshi baiskeli?"
kichaa:Shhhh,niko kwenye mtelemko.
Dokta huyo kaondoka.
 

Forum statistics

Threads 1,203,566
Members 456,823
Posts 28,119,238