Vicent Nyerere: Hakuna polisi aliyepata kuwa mkuu wa wilaya

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Nimeitafakari hii kauli aliyoitoa meneja wa kampeni hapa East Meru ambaye ni mbunge wa Musoma mjini mh. Vincent Nyerere kuwa ktk teuzi za magamba haijapata tokea polisi mstaafu akapewa ukuu wa wilaya ama ukuu wa mkoa kama walivyo wenzao wa JWTZ.

Na hata wanaojitokeza kuomba ubunge wanapigwa mbaya mno mfano Tibaigana.

Wanajamvi mwenye kumbukumbu ya IGP ama RPC aliyepewa post kisiasa atuwekee hapa.
 
Kuna kamanda 1 alikua anaitwa Mnali aliwahi kuwachapa bakora walimu...hiyo akili km ya kipolisi vile!!!!
 
Ninauona ukweli wa kauli ya Vicent Kiboko Nyerere!

Hili ni fundisho kwa maaskari polisi kuwa hutumika na kutumiwa kwa manufaa ya wengine, hao askari inabidi waonyeshe heshima kwa watu wote na sio kupendelea watawala ambao wanawafanya maaskari kama covers kwa manufaa yao ya kisiasa & ufisadi.
 
Nimeitafakari hii kauli aliyoitoa meneja wa kampeni hapa east meru ambaye ni mbunge wa musoma vihsent nyerere kuwa ktk teuzi za magamba haijapata tokea polisi mstaafu akapewa u Rc ama U dc kama walivyo wenzao wa Jwtz.Na hata wanaojitokeza kuomba ubunge wanapigwa mbaya mno mfano Tibaigana.wanajamvi mwenye kumbukumbu ya IGP ama RPC aliyepewa post kisiasa atuwekee hapa..
Kwani lazima awe RPC au IGP?
Kama utataka any Police officer I put the name of Adadi Rajabu in advance (DCI), ambaye ni balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.
 
nawambien cdm nyie kila cku thread zenu na maneno yenu n kuleta chuki kwa wananchi,kama kaul hii ya visenti ni ya kichonganishi sana,
 
CCM huwa wanawatumia polisi kama ile zana ya kujikinga (salama) then ukimaliza kazi unaitupa mbali sana. Zawadi pekee wanayolipwa na ma.gamba ni kuachiwa wapokee rushwa hadi wachoke na wawabambikizie kesi wananchi kujiongezea kipato huku mishahara na mazingira ya kazi duni
 
Kwani lazima awe RPC au IGP?
Kama utataka any Police officer I put the name of Adadi Rajabu in advance (DCI), ambaye ni balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.

Nyerere amesema hakuna kamanda wa police aliyewahi kuwa RC au DC. Pia Adadi Rajabu alikuwa TIS ndani ya Jeshi la Police, yaani ni kama mshkaji wangu ni dereva ICTR lakini ni TIS.
 
CCM huwa wanawatumia polisi kama ile zana ya kujikinga (salama) then ukimaliza kazi unaitupa mbali sana. Zawadi pekee wanayolipwa na ma.gamba ni kuachiwa wapokee rushwa hadi wachoke na wawabambikizie kesi wananchi kujiongezea kipato huku mishahara na mazingira ya kazi duni

Weka Mbali na Watoto!
 
nawambien cdm nyie kila cku thread zenu na maneno yenu n kuleta chuki kwa wananchi,kama kaul hii ya visenti ni ya kichonganishi sana,
...mkuu una-UNASABA na Wassira?...wewe ukweli kwako unautafasiri kama ni uchochezi?...mbona we bado kijana mdogo,badirika mkuu husiwe mtu wa ku-copy na ku-parste mawazo ya mtu kama Wassira...
 
Kwani lazima awe RPC au IGP?
Kama utataka any Police officer I put the name of Adadi Rajabu in advance (DCI), ambaye ni balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.

turikuwa tunasambaratisha mtandao wa ujambazi wa yule igp aliyemupa kamimba hausigeri wake na kumuterekeza, mahakama ikamutoa nishai! bado sio mafano wa kuigwa.
 
nawambien cdm nyie kila cku thread zenu na maneno yenu n kuleta chuki kwa wananchi,kama kaul hii ya visenti ni ya kichonganishi sana,
Lakini si ni ya ukweli? Sasa uchonganishi unatokea wapi? Tatizo lenu magamba mnajisahau mkiambiwa ukweli mnatoa mapovu
 
Nimeitafakari hii kauli aliyoitoa meneja wa kampeni hapa east meru ambaye ni mbunge wa musoma vihsent nyerere kuwa ktk teuzi za magamba haijapata tokea polisi mstaafu akapewa u Rc ama U dc kama walivyo wenzao wa Jwtz.Na hata wanaojitokeza kuomba ubunge wanapigwa mbaya mno mfano Tibaigana.wanajamvi mwenye kumbukumbu ya IGP ama RPC aliyepewa post kisiasa atuwekee hapa..

Mkubwa eh, wapo ila ni kiasi kidogo.Mfano yupo Bwana MASAGA ACP aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza kipindi cha Mh.Benjamini W.Mkapa.Ila yeye naweza kusema ilikuwa kama zengwe tu hiyo ni baada ya Mh.Mrema kupata mapokezi mazuri ktk mkoa wa Iringa na Mh.BWM kuvunjiwa gari na wahuni ktk harakati za kampeni ya kuingia Ikulu.Kwa ghadgabu Mh,baada ya kupata u-presida akafanya mabadiriko ya kuwa staafisha viongozi wa polisi wa Mkoa huo kwa manufaa ya umma.Katika uchunguzi wa nusanusa ikabainika ACP. MASAGA hakuhusika kwa njia yoyote,ndipo akamteua kuwa Mkuu wa wilaya kama kumpoza.Hata hivyo hakudumu sana yaani 1998-2002 hivi,aliachia madaraka baada ya kupata stroke,ambapo kilimpiga upanda mmoja wa mwili na kulazimika kustaafu rasmi.
 
Kwani lazima awe RPC au IGP?
Kama utataka any Police officer I put the name of Adadi Rajabu in advance (DCI), ambaye ni balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.

Kuwa DC ama RC ni tofauti kabisa na kuwa balozi wa nchi huko nchi za nje, ama hili nalo gumu kulielewa!?
 
nawambien cdm nyie kila cku thread zenu na maneno yenu n kuleta chuki kwa wananchi,kama kaul hii ya visenti ni ya kichonganishi sana,

wewe mwenyewe mchonganishi tu manake wewe ndio umeanzisha neno hilo.vicent nyenyere kaongea ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom