Vice President Samia Hassan instructs public servants to ensure justice for all

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,004
Sunday, December 11, 2016
Ensure justice for all, VP instructs public servants

justice+samia_1.jpg



In Summary
Vice President Samia Suluhu Hassan makes the call at the closure of Service Provivion Week in the city


Dar es Salaam. Vice President Samia Suluhu Hassan yesterday challenged the law enforcement institutions to cooperate to ensure there is social, economic and political justice for all citizens in the country.

She made the statement at the conclusion of the Service Provision Week, which was jointly organised by institutions under the Ministry of Constitution and Legal Affairs and President’s Office, Public Service Management and Good Governance. The Vice President represented President John Magufuli who was earlier scheduled to officiate at the closing event.

According to her, good governance should start at the institution level to ensure integrity is maintained at the work places. “You should be fair to all. You should never favour the rich against those who are financially weak,” said the Vice President.

She said, this would be the driving force for proper delivery of public services for the benefit of the majority, in line with pushing forward national development.

“Let me also challenge the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) to ensure it works within its legal framework in a bid to avoid conflict of interest in the procurement of public goods and services, if at all development projects are not to be delayed,” she noted. (What about those planes bought recently by Magufuli?)

“Again, there have been unnecessary bureaucracy in public offices when it comes to making decisions, resulting in the decline of foreign investors,” she said, insisting disciplinary measures, including sacking of irresponsible government officers, would continue.
 
Sijawahi kumuamini mwanaccm YEYOTE , huyu si ndio alikuwa msaidizi wa Samuel Sitta kwenye BMK ?
 
Wanavyoongea utadhani malaika. Kumbe hata shetani ni malaika kwa upande wao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watu wa ajabu sana hawa Mkuu. Sijui wanadhani Watanzania hatuna akili ya kulinganisha matendo yao na kauli zao!?

Wanavyoongea utadhani malaika. Kumbe hata shetani ni malaika kwa upande wao.
 
Ujumbe huu unawahusu waingereza Angekua ametulenga ss angetumia kiswahili kwahiyo haituhusu mm hata kusoma sijahangaika
 
Usipotoshe habari Mkuu. Waingereza wana uhusiano gani na sheria za Tanzania!? Gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la kiingereza hivyo haihusu kitu kwa gazeti la kiingereza kuandika habari kwa Kiswahili.

[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]

Ujumbe huu unawahusu waingereza Angekua ametulenga ss angetumia kiswahili kwahiyo haituhusu mm hata kusoma sijahangaika
 
watumishi wa umma wana nyadhifa nzitonzito ndani ya CCM hawafanywi kitu ila ukisikika hata unajihusisha kwa mbaaali na upinzani unafanyiwa figisufigisu
 
Wacheni Majungu, swala la Lema lina uhusiano gani na aliyosema VP? Hakuna hata moja mwenye ushahidi kwamba Lema anashikiliwa bila kufuata taratibu na sheria za nchi. Mwenye ushahidi kama anao ana nafasi ya kuifungulia kesi Serikali ya Tanzania mahakama kuu. Huu ulimbukeni wa kutoa maneno ambayo hamuwezi kufanya ni ujinga, tuache porojo, hivi nyinyi kweli mngeweza kusimamia haki wakati Tanganyika ilipokuwa inagawanywa na wazungu? Au mngeweza kupigania haki kama kina Mkwawa et al. Hizi porojo fanyeni majumbani kwenu mmeuziwa mbuzi kwenye gunia mmekaa kimya mtaweza kweli kuongoza nchi kweli au mnaangalia pua zenu tu.
 
[HASHTAG]#Justiceforlema[/HASHTAG]
Wetu wamepiga pushups campaign nzima kuashiria wao wana afya na mwingine anakaribia kufa , Leo lema ameota inakuwa shida. Hili taifa ni la kinafiki sana watu utasema hawajui kama Lema kawekwa ndani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom