Vice President Samia Hassan instructs public servants to ensure justice for all

False information! And yet you are unable to come up with accurate info of what trasnpired. We jamaa kwa kuzungusha maneno umetia fora! Acha unafiki wako fungua akili Mkuu badala ya kukubali kutumika kutetea ujinga na uozo unaoendelea nchini.

Wewe mwenye kujua ukweli wa kile kilichojiri tuwekee ukweli huo ili na sisi wenye false information pia tuujue ukweli halisi.

Unazungusha zungusha maneno without any single evidence to support your arguments.

Niliyoyaandika mimi kuhusu ukwapuzi wa nyumba, kulidanganya Bunge kuhusu upotevu wa mabilioni ya pesa za walipa kodi na kununua boti uozo la bilioni 8 yote haya yamo ndani ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ambaye alifanya uchunguzi wa kina na wa muda mrefu kabla ya kufikia hitimisho lake. Na aliyehusika na ufisadi huu ni Magufuli.

Acha kutumika kutetea maovu nchini. Fungua akili yako ili uanze kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania badala ya kutetea wale wasiostahili kutetewa kwa namba yoyote ile.

Jiulize kwa nini mkewe alikataa kumfanyia kampeni!?

Mkuu huwezi kutoa source then unakataa kukubali kwamba argument yako ipo-based na hizo source/s, kubishana ki-JF mpya without facts is a waste of time. Based on the sources you have provided there is no need for me to continue; that is why I told you, what you know is not enough to understand the process of government workings etc. You need to know more than what Rai has provided or whoever has given you those false information before you make an informed decision. Based on that, I am quite confident that you do not know what transpired and hence your emotions has taken over.

..justice for all!...wakati mmekalia haki za watumishi wa umma!!..my foot!...wanafiki kweli kweli..
 
Stop your nonsense please! Who told you that my emotions has taken over!? Any evidence!? Kama huna cha maana cha kuandika kaa kimya badala ya kuja na kauli hewa ambazo huna uthibitisho hata chembe zaidi ya kukurupuka na kuandika pumba zako. Niliuliza maswali hata moja umeshindwa kulijibu.

Nayarudia tena hapa maswali hayo. "JPM ana sifa kem kem hivi sasa sio Bongo tu worldwide." wakati hujatuambia sifa hizo zinatokana na kipi alichokifanya Tanzania au duniani mpaka amwagiwe sifa hizo!? Hizo sifa kem kem World wide ni kutoka kwa akina nani wa nchi zipi?

Kama huna majibu sema sina majibu badala ya kumsifia mtu ambaye katika miezi michache tu uongozi wa nchi umeshamshinda. Kaangusha uchumi kwa kukurupuka kwake na vitu ambavyo hana ufahamu navyo. Kapaisha deni la Taifa kwa 55.8% sawa na 24 Trillioni toka 43 Trilioni hadi 67 Trillioni. Haliheshimu Bunge kwa kutumia pesa bila idhini ya Bunge. Haiheshimu katiba ya nchi pamoja na kula kiapo mbele ya mamilioni ya Watanzania na kuahidi kulinda na kuiheshimu katiba ya nchi. Hawajali Watanzania, kule Kagera ni mwezi wa nne sasa unaingia tangu tetemeko la ardhi litokee lakini hataki kwenda kuwapa pole na kawapora bilioni 16 zilizochangwa ndani na nje ya nchi. Pumba unazoandika humu peleka lumumba kule watakuelewa sana.

I can tell you that, there is no evidence whatsoever to support your childish arguments, simple questions cannot be answered by rhetoric, stay calm and on the agenda. You have failed to urge with your own evidence. Then how do you expect me to answer you? Innuendos does not build a country, of late you have build this myopic bahaviour of blaming everything to the president. Does this mean you are a failure in your own right? I don't believe so, but if the trend continues you might left me without any other option but to believe whatever I think. Its beggars belief to blame JPM on the nations debt. All of a sudden you have forgotten about Vasco da Gama. The privatisation/disposal of parastatals by Che-nkapa etc. Why should I be surprised, the culture of blame rather than solving the real issues that affect the majority of poor tax payers of this country. Lets talk issues please.

BTW remember the president has more power than
Bunge. Muhimili ulio na mizizi mirefu zaidi, have you had about that before? That's JPM the president whether you like it or not.
 
My childish arguments but were included in CAG's annual report. Na wewe uko busy kubwabwaja hewa without any single evidence ya upuuzi unaouandika.

Magufuli kamwagiwa sifa kem kem nchini and World wide! Kwa lipi alilofanya Tanzania au duniani!? Nchi zipi na ni akina nani wanaompa hizo sifa kem kem huyo dikteta uchwara mkurupukaji!? Unang'aa macho! Peleka pumba zako lumumba siyo humu kule watakupigia makofi mengi na kukuona shujaa na si ajabu ukaambulia cheo cha ukuu wa Wilaya.

Acha kusifia uozo fungua akili yako ili uone the big picture yale yanayojiri nchini badala ya kuangalia pale inapoishia pua yako na kusifia hii one man show government ya kukurupuka kila kukicha na kutoa kauli za uongo.

I can tell you that, there is no evidence whatsoever to support your childish arguments, simple questions cannot be answered by rhetoric, stay calm and on the agenda. You have failed to urge with your own evidence. Then how do you expect me to answer you? Innuendos does not build a country, of late you have build this myopic bahaviour of blaming everything to the president. Does this mean you are a failure in your own right? I don't believe so, but if the trend continues you might left me without any other option but to believe whatever I think. Its beggars belief to blame JPM on the nations debt. All of a sudden you have forgotten about Vasco da Gama. The privatisation/disposal of parastatals by Che-nkapa etc. Why should I be surprised, the culture of blame rather than solving the real issues that affect the majority of poor tax payers of this country. Lets talk issues please.

BTW remember the president has more power than
Bunge. Muhimili ulio na mizizi mirefu zaidi, have you had about that before? That's JPM the president whether you like it or not.
 
BAK if you are not exposed to the world, how can I help you? An uninformed person rely on false information and believes that the information is correct. Wrong!
 
Wanafiki kama wewe tunawajua. Siku zote mko radhi kuisaliti nchi yenu na wananchi wenzenu ili tu kujaza matumbo yenu. I am not uninformed person as you think. I shared with you accurate info about Magufuli's corruption activities. This info was also included in CAG's annual report that was presented to Tanzania parliament.

Wewe ndiyo unakuja na habari hewa huna source wala nini unabwabwaja povu zito. Endelea na juhudi zako za kinafiki za kusifia mediocre performance labda watakuona wakupe ukuu wa Wilaya ili ukajaze tumbo lako kupitia unafiki wa hali ya juu unaouonyesha hapa. Unasikitisha mno! Kwa kuweka mbele maslahi ya tumbo lako badala ya yale ya Watanzania na Tanzania na hivyo kuamua kumtetea dikteta uchwara bila hata ya chembe moja ya ushahidi.

BAK if you are not exposed to the world, how can I help you? An uninformed person rely on false information and believes that the information is correct. Wrong!
 
Justice for all, heslb yan Ahh au imeniuma sema basi ila ina unafiki hii dunia [HASHTAG]#justice4lema[/HASHTAG]&ben
 
Wanafiki kama wewe tunawajua. Siku zote mko radhi kuisaliti nchi yenu na wananchi wenzenu ili tu kujaza matumbo yenu. I am not uninformed person as you think. I shared with you accurate info about Magufuli's corruption activities. This info was also included in CAG's annual report that was presented to Tanzania parliament.

Wewe ndiyo unakuja na habari hewa huna source wala nini unabwabwaja povu zito. Endelea na juhudi zako za kinafiki za kusifia mediocre performance labda watakuona wakupe ukuu wa Wilaya ili ukajaze tumbo lako kupitia unafiki wa hali ya juu unaouonyesha hapa. Unasikitisha mno! Kwa kuweka mbele maslahi ya tumbo lako badala ya yale ya Watanzania na Tanzania na hivyo kuamua kumtetea dikteta uchwara bila hata ya chembe moja ya ushahidi.
You're not ashamed to post such lies. I do not need any position in Tanzania, what I have is enough, maybe you who has been supporting these thieves from Ukawa and Chadema would like a position in Tanzania. FYI I am well informed and I bet you, you'll never reach my level not now or tomorrow forever. Ding ... Dong.
 
Wewe kweli ni mnafiki uliyetukuka!? Hivi unajua chochote kuhusiana na ripoti za CAG au umeamua kubwabwaja povu tu!? Acha kukurupuka na kupindisha ukweli halisi. Tafuta ripoti ya CAG uone kama nilichoandika kina chembe chembe hata ya 0.00000001 kuwa ni uongo!? Unadhani kwa nini Magufuli alipoingia madarakani tu akaanza kumpiga vita CAG kwanza alipunguza bajeti yake kwa kiasi kikubwa kisha kuanza kumpiga vita ili atafute justification ya kumuondoa!?

Acha kukurupuka wewe na unafiki wako kuja humu kuandika pumba zako kwa nia ya kupindisha ukweli halisi. Fuatilia yanayojiri nchini kwa kina labda utaacha kuandika unafiki wako humu ili kutetea mediocre performance. Fungua akili yako acha KUIDUMAZA.

Kamwe siwezi kufikia level yako ya unafiki, uongo na kutukuza wale wasiostahili kutukuzwa kwa namna yoyote ile. Ungekuwa uko informed usingethubutu kuandika pumba zako humu na kuonyesha ujuha wako hadharani eti Magufuli kamwagiwa sifa kem kem nchini na World wide lakini wakati huo kushindwa kuthibitisha kauli yako.

Hahahahahaha lol! Wacha1 well informed person! Yet with no single clue of what is going on in our beloved country.

You're not ashamed to post such lies. I do not need any position in Tanzania, what I have is enough, maybe you who has been supporting these thieves from Ukawa and Chadema would like a position in Tanzania. FYI I am well informed and I bet you, you'll never reach my level not now or tomorrow forever. Ding ... Dong.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom