PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,278
- Thread starter
- #181
Naomba niulize swali mkuu, Kuna baadhi yetu tumekuwa tumekuwa tukichanganya madhabahu katika suala la kutafuta auheni, Leo upo kwa mganga, keshokutwa kanisani. Je hii inaweza kuleta impact hasi zaidi katika kile unachokihitaji na yasionekane mabadiliko yoyote, na ni jinsi gani tunaweza kujiondoa kweny madhabau moja ya kigiza, maana Kuna vitu haiko sawa mpaka nahis kn mkorogo nilishawahi ufanya
Process za kufanyaje chief