Elections 2010 Vibweka vya Uchaguzi Igunga: Mabasi kukamatwa, masanduku kwa DC na mengineyo..

yaleyale ya CUF wameingiza nchini container la mapanga, mpaka leo hakuna aliyeshuhudia hilo container.
 
Hii redio haina tofauti na ile ya Rwanda, CCM, Vyombo vya habari na baadhi ya Wana habari iko siku watalipia vitendo vyao.
 
jii redio ni yas kihuni inapenda kuwasilisha habari za uongo inapaswa iondolewe kabisa
 
Wao wana polisi na Usalama wa Taifa sisi tuna Mungu na nguvu ya Umma mbinu zote ovu dhidi ya Chadema hazitafanikiwa.
 
Wana JF habari;
Leo asubuhi nimeamka vibaya hasa kwa kutune redio ya CCM(Uhuru fm) habari ya kwanza kusikia ni kua basi nne zenye watu waliobeba siraha kama Marungu,Panga na Bundiki madawa ya kulevya kama Bangi toka Mara zimekamatwa Tinde zikielekea Igunga

Yaani watu wa Mara ndo wenye vurugu, wagomvi, na wavuta bangi!

Ole wetu Watanzania, tunapelekwa kubaya na Wanasiasa uchwara, ambao hawajo kuachia madaraka kwahiyari.
 
CCM kwa kweli ni kichefuchefu. Pamoja na kutumia nguvu kubwa kusaka kura bado na wizi wanatumia? Wao wangekubali kuwa wamepoteza mvuto mbele ya wananchi na wajitazame wapi wamepotoka na wajirekebishe sio ule usanii wa kujivua gamba.
 
Acha nicheke niboreshe afya, kwani taarifa za kipolisi zinasemaje mpaka uhuni radio itangaze hayo kama yana ukweli ndani yake
 
Tunataka tuone watu hao wanafikishwa mahakamani mara moja na picha zao tuzione kama wale watu wa samaki wa Magufuli walivyokuwa wanaonyeshwa, la sivyo Magamba waombe msamaha kwa Watanzania kwa kuendelea kuwafanya wajinga na kuwaletea uongo wa kitoto.

Hawa jamaa wamezoea sasa kutuletea habari za kwenye magazeti wanayosoma ya Udaku na kuzileta kutaka sisi great thinkers tuzisadiki.
 
Mesahau juzi wamesema kuna makomandoo wamefundishwa Afghanistan,mara Israeli,mwisho wa siku watatangaza kuna kambi za jeshi za CHADEMA,pole sana mkuu usikosee tena ku-tune kijiredio hicho kitakuwa kina kuharibia siku bure!
 
Hii habari kwa mtu mwenye akili timamu ni vigumu kuiamini?
 
Wana JF habari;
Leo asubuhi nimeamka vibaya hasa kwa kutune redio ya CCM(Uhuru fm) habari ya kwanza kusikia ni kua basi nne zenye watu waliobeba siraha kama Marungu,Panga na Bundiki madawa ya kulevya kama Bangi toka Mara zimekamatwa Tinde zikielekea Igunga kama maandalizi ya kufanya vurugu j2 kwenye uchaguzi.
Kwa mjibu wa redio CCM wanasemekana ni Vijana wa CDM waliosafirishwa kufanya vurugu hizo.
Wadau mlioko maeneo husika Habari hiz ni za Ukweli?.Au ni visingizio tu,make siamini kama kweli hii ikitu inaweza kutokea,na sijui wamewajuaje kama ni watu wa CDM.
Naomben kwa mwenye taarifa zaid atujuze!

Sasa ndugu yangu unasikiliza redio uhuru wanapiga propaganda dhidi ya chadema na wewe unakuja kutafuta ukweli hapa JF.

Redio uhuru iko pale kwa kazi maalum, sasa msipokuwa makini na uchaguzi wa redio gani unasikiliza ama ni kipindi gani unasikiliza utaishia kulishwa propaganda za ajabu ajabu tu. Wengine hatusiklizi hiyo redio labda muziki wa taarabu tu.
 
Ha haa ha haaaaaaa.... , sikiliza Mkuu ukiona hivyo basi ujue CCM kwishney. Kumbuka kwamba Nape Nnauye alikuwa Mara / serengeti hivi karibuni, hizo ni propaganda za Nnauye. Kuna taarifa kwamba CCM wanajiandaa kugawa mahindi na sukari huko Igunga siku moja kabula ya uchaguzi mpango uliosukwa na Mh. Pinda akishirikiana na Mkapa ili kuwashawishi wakazi wa Igunga waichague CCM.
 
Kumbe ni redio ya CCM? Hamna haja ya kuchangia hapa..
Nadhani hawa watu wataenda Jera tu, Hebu tukumbushane ule mwaka wamekamata makontena ya visu vya Cuf kwa ajiri ya kuvunja amani kesi yao iliishaje vile?
 
Wana JF habari;
Leo asubuhi nimeamka vibaya hasa kwa kutune redio ya CCM(Uhuru fm) habari ya kwanza kusikia ni kua basi nne zenye watu waliobeba siraha kama Marungu,Panga na Bundiki madawa ya kulevya kama Bangi toka Mara zimekamatwa Tinde zikielekea Igunga kama maandalizi ya kufanya vurugu j2 kwenye uchaguzi.
Kwa mjibu wa redio CCM wanasemekana ni Vijana wa CDM waliosafirishwa kufanya vurugu hizo.
Wadau mlioko maeneo husika Habari hiz ni za Ukweli?.Au ni visingizio tu,make siamini kama kweli hii ikitu inaweza kutokea,na sijui wamewajuaje kama ni watu wa CDM.
Naomben kwa mwenye taarifa zaid atujuze!

Propaganda za jamaa wa magamba hizo.
Hawakawii kusema Obama anaisadia CHADEMA ishinde Igunga
 
Back
Top Bottom