Vibwagizo vya Tundu Lissu katika matamshi yake huwa ni chumvi? Au vipo kitaaluma?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Hakika Mimi ni miongoni mwa watu wanaopenda kumsikiliza Tundu, hii inatokana na umahili wake Wa kujua kujenga hoja na kuisimamia sheria!
Lakini pamoja na yote, kuna haya maneno ya kuchombeza "YASIYO NA TAFSIDA" huwa yanatia uchungu sana Kwa hadhira yanapotumiwa!!! na huenda ndiyo maana hawaishi kumkamata!
Usiombe maneno haya akwambie Tundu lissu yanachoma sana!
1. "Manyang'au" hawa wanaotukamata kila siku.
2. Hawa "wateesi" wetu
3. Huyu "dikiteta uchwara" huyu
4. Hii report ni "Takataka"
5. Huyo kasema "uharo mtupu"
6. Hayo ni "matapishi mtupu"
7. Hawa "wapuuzi hawa"
8. Hawa "nguchiro hawa"
9. Hizo sheria zao ni za " kipimbi tupu"
10. Haya " majizi haya" yana faa "yanyongwe"
11. Wao "wamevimbewa na upuuzi"
12. "Matapeli wakubwa hawa wapuuzwe
***************************************
MANENO YA TUNDU NI SHIIDA KWAKWELI SIELEWI KAMA YAPO KITAALUMA AU CHUMVI ZAKE TU
 
Hakika Mimi ni miongoni mwa watu wanaopenda kumsikiliza Tundu, hii inatokana na umahili wake Wa kujua kujenga hoja na kuisimamia sheria!
Lakini panoja na yote, kuna haya maneno ya kuchombeza "YASIYO NA TAFSIDA" huwa yanatia uchungu sana Kwa hadhira yanapotumiwa!!! na huenda ndiyo maana hawaishi kumkamata!
Usiombe maneno haya akwambie Tundu lissu yanachoma sana!
1. "Manyang'au" hawa wanaotukamata kila siku.
2. Hawa "wateesi" wetu
3. Huyu "dikiteta uchwara" huyu
4. Hii report ni "Takataka"
5. Huyo kasema "uharo mtupu"
6. Hayo ni "matapishi mtupu"
7. Hawa "wapuuzi hawa"
8. Hawa "nguchiro hawa"
9. Hizo sheria zao ni za " kipimbi tupu"
10. Haya " majizi haya" yana faa "yanyongwe"
11. Wao "wamevimbewa na upuuzi"
MANENO YA TUNDU NI SHIIDA KWAKWELI SIELEWI KAMA YAPO KITAALUMA AU CHUMVI ZAKE TU
Hahahahahaha!
 
akiitwa yeye pimbi ataenda kushtaki mahakamani.
Ni mtu aliyekosa heshima hekima na ustaarabu.
Hii ni tabia yake halisi hata awe nani haitabadilika.
Ajiona mwema mtakatifu na mwenyehaki kuliko viumbe vyote.

Rubiikimimi
 
Hivi hata hata wakubwa zake huko wamfunze namna ya kuzungumza na wakubwa zake!! Anaweza vipi wafunza wanae adabu ikiwa yeye mwenyewe hana adabu!!!
 
akiitwa yeye pimbi ataenda kushtaki mahakamani.
Ni mtu aliyekosa heshima hekima na ustaarabu.
Hii ni tabia yake halisi hata awe nani haitabadilika.
Ajiona mwema mtakatifu na mwenyehaki kuliko viumbe vyote.

Rubiikimimi
How a beautiful, cute and sexy gal like u to be on oppressors side,jitambue badilika mwaahh
 
Watu wafupi wana matatizo sana. Na huwa anakunja paji ya sura lake always + maneno machafu = puke
 
Back
Top Bottom