Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!

Dar si Lamu,

hivi kuna thread humu ya kuonyesha ujuzi wa kii ngereza jamani? ambayo hutakiwi kustick kwenye point yoyote maalum...mi mgeni humu nielekeze
 
..sidhani,ila utayaona mengi!

..you know what,at times you can smell a man even if he is far away!and a woman for that case!
 
sasa nini tufanye ili tuwaokoe vijana wa namna hii? au ndio maendeleo ya development?
 
..elimu nzuri ndio njia pekee ya kuwafanya vijana kama hawa wakawa na maendeleo!

..mfano,kama kijana kama huyu eshapata huyo bibi halafu akafunguliwa m(i)radi,kama ana elimu nzuri itamsaidia yeye,familia yake na huyo bibi pia!hii ni fact kwani vijana wa arusha kadhaa washafungua miradi ya tours kwa kufadhiliwa na hawa mabibi!

..lakini la msingi hapa ni kwamba hiyo elimu itawafanya hao vijana kutokimbilia hivyo vibibi,badala yake watawasalandia vijana wenzao kama marasta wa zenj!

..zaidi,itawapanua mawazo kuwa, kuwa wanaume kama mademu si vizuri hivyo wajibidiishe kwenye shughuli nyingine na hiyo ije kama social duty!

..elimu ninayoiongelea hapa ni ya maarifa ya kujitegemea!lakini haya lazima yawe supplemented na juhudi za serikali kutoa opportunity zaidi kwa vijana!
 
Mkuu, Umechelewa mno kutoa haya mawazo yako, umeacha watu wamefoka foka sana kwanza na kupotosha mjadala...hata hivyo, asante sana!
 
..elimu nzuri ndio njia pekee ya kuwafanya vijana kama hawa wakawa na maendeleo!

..mfano,kama kijana kama huyu eshapata huyo bibi halafu akafunguliwa m(i)radi,kama ana elimu nzuri itamsaidia yeye,familia yake na huyo bibi pia!hii ni fact kwani vijana wa arusha kadhaa washafungua miradi ya tours kwa kufadhiliwa na hawa mabibi!

..lakini la msingi hapa ni kwamba hiyo elimu itawafanya hao vijana kutokimbilia hivyo vibibi,badala yake watawasalandia vijana wenzao kama marasta wa zenj!

..zaidi,itawapanua mawazo kuwa, kuwa wanaume kama mademu si vizuri hivyo wajibidiishe kwenye shughuli nyingine na hiyo ije kama social duty!

..elimu ninayoiongelea hapa ni ya maarifa ya kujitegemea!lakini haya lazima yawe supplemented na juhudi za serikali kutoa opportunity zaidi kwa vijana!

nakubaliana na wewe kwenye suala la elimu lakini sikubaliani na wewe kwamba wabaki na hawa vibibi ili wapate mradi wa kuwasaidia wengine.kwanini?
1)kuna hatari ya vijana hawa kumilikiwa na hawa vibibi na badili yake wakafisidiwa kimaadili,kiutamaduni na hata kisaikologia.
2)wanajinyima haki yao ya kupata familia ya kiheshima na badili yake kuishia kuwa na kibibi ambacho hakimtoshelezi kiunyumba na inambidi awe na nyumba ndogo ambapo sio tu yupo hatarini kiafya bali pia anajiharibia future yake.
3)bibi huyu anaweza akamuingiza kijana huyu aidha katika human trafficking ama modern slavery ama pia kumbebesha ugoro (madawa ya kulevya) alimradi tu amemuhisi huyu kijana ana tamaa na maisha,ataitumia hiyo nafasi.
tusonge mbele.
 
hawa akna mama, wa JF wako wapi wasaidie watu hapa ati??

mama eti kuna ubaya wa vijana kusarandia akina mama watu wazima??? du inaogopesha

nina ushahidi wa awafanyabiashara wengi akina mama wa kariakoo, kutoka na fasheni ya kutembea na vijana, hii Tanzania ipo?? hali ni sawa na kenya isipokuwa vijana wa tanzania ni mafunsi kwa shangazi zao na akina mama wadogo wao!!!!!!!!!!!!

mama sema jambo
 
hivi kwa nini wakenya wako soo arogant???muone huyu kenyan-tanzanian na mapumba yake?:smash::smash:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom