Vibarua katika bandari ya Kigoma wamegomai kwa muda usio julikana.


PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
2,821
Likes
12
Points
135
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
2,821 12 135
[h=5]Zaidi ya vibarua mia moja katika bandari ya Kigoma wamegoma kufanya kazi kwa muda usiojulikana wakidai nyongeza ya posho na kupewa vitendea kazi ili kulinda afya zao .

Vibarua hao wamesema , huo ni mgomo wao wa pili tangu Januari mwaka huu tangu Mamlaka ya Bandari ilipoanza kuiendesha bandari hiyo baada ya mkataba wa kampuni ya Muapi kumalizika na kwamba wamekuwa wakilipwa shilingi elfu tano kwa kutwa badala ya shilingi elfu kumi , pesa ambayo haikidhi mahitaji ,huku wakiwa hawana vifaa maalum vya kufanyia kazi kutokana na aina ya mizigo wanayobeba katika bandari ya kigoma inayohudumia nchi za Zambia, Congo Drc na Burund
[/h]
ITV
 
N

nummy

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Messages
587
Likes
6
Points
0
N

nummy

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2011
587 6 0
kazi hiyo ni ngumu sana mimi nimefanya wakati nasoma secondary ili nipate hela ya matumizi, nashauri waongezewe iwe elfu15 (15000 x 30 =450,000)
 

Forum statistics

Threads 1,273,818
Members 490,485
Posts 30,492,989