Vibaraka waandamana kupinga mgomo wa madaktari

hivi wale jamaa ni wanaharakati kweli au waganga njaa....nimemsikia mmoja itv anaongea pumba mwanzo mwisho.mapovu yanamtoka eti rais fukuza madaktari wote waondoke waende wanakokujua.sijui anajua madaktari sawa na wanafunzi wanaowafukuza kila siku.!
 
Thanks to the constitution not an individual you dummy, umuhimu wa kutoa shule ya katiba unazidi kujionyesha.

Back to the strike, wananchi wanapaswa kuandamana kumshinikiza incompetent Prez. kuwaondoa wanasiasa wawili kati
maelfu ya wanasiasa tusiowaitaji anyway.
Mkuu wangu hata katika Katiba Mpya hawa jamaa watakuepo! Tutasikia na kusikia mambo mengi ya ajabu wakati hii regime inaporomoka.
 
hivi wale jamaa ni wanaharakati kweli au waganga njaa....nimemsikia mmoja itv anaongea pumba mwanzo mwisho.mapovu yanamtoka eti rais fukuza madaktari wote waondoke waende wanakokujua.sijui anajua madaktari sawa na wanafunzi wanaowafukuza kila siku.!

akili zao kama za boko haram.. ati hata wakienda nchi nyingine huko raisi wa hapa awapigie cmu maraisi wa huko wasipewe kazi.. mbumbumbu..
 
Back
Top Bottom