Vibao vya Matangazo ya Kujiunga na Fre-mason

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Kumekua na vibao vingi vya waganga ambao wanajinadi kwamba wametoka Nigeria na wanawaonganisha watu na fremason na kusaidia kuwaondolea matatizo yao...tunaomba mrejesho kwa wale waliojaribu zile namba za simu walijibiwa nini au kuna ambaye ameunganishwa na kufanikiwa....
 
Attachments

  • free.jpg
    free.jpg
    6.4 KB · Views: 60
mganga!.jpg
Kumekua na vibao vingi vya waganga ambao wanajinadi kwamba wametoka Nigeria na wanawaonganisha watu na fremason na kusaidia kuwaondolea matatizo yao...tunaomba mrejesho kwa wale waliojaribu zile namba za simu walijibiwa nini au kuna ambaye ameunganishwa na kufanikiwa....

Ndiyo maana tulifurika Loliondo,Si ndio Maana tunashabikia Slack management style ya Magufuli?Ndivyo tulivyo na anatujulia kama Babu wa Loliondo alivyotupatia
 
Dah bango kama hili niliona pale kituo cha basi mawasiliano, nilicheka sana nikamwambia wife hebu soma tangazo, aliniuliza hivi kuna wajinga wanaweza kwenda kujiunga ? Nikamjibu wapo ndio maana na matanagazo yapo
 
Back
Top Bottom