Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

Primitive ways hio.
Ukiboresha kilimo viwanda vitaongezeka ajira zitaongezeka machinga na bodaboda watapungua mijini sababu kilimo kinalipa, viwanda vinaajiri.

Kabisa sector ya kilimo serikali inaichukulia poa wakati ndio ina great multiplier effect ya kuongeza ajira....Tatizo viongozi wetu wanawaza V8,kupewa nyumba masaki ,20% tu.
 
Machinga wanasumbuliwa bure
Ni kuwaonea mwendazake ndie aliyeleta tatizo la machinga kwa kupambana na matajiri wakakimbia ofisi, viwanda, biashara zikafa wakakosa ajira,baada ya kuwatengeza machinga akajifanya mtetezi wao Ili apate kura zao.
 
Back
Top Bottom