Vibaka kwenye ndege hasa Ethiopian na Kenya Airways

Ok maana niliwahi kusafir from Dar-DC wakati tunabadili ndege Addis tulikwea 787 isiyo na Na first class Bali Business Class na Economy
DC ulienda lini we nyang'au usilete hadithi za alfu lela ulela
 
Wanaijeria wanatuchafua sana waafrika, niliwahi kufukuzwa dukani nchi fulani wakinituhumu kuwa ni mnaijeria, hawakutaka kabisa kuhudumia mnaijeria.

Nilijisikia vibaya lakini ikanibidi niwe mpole, sijui yule mwenye duka alipatwa na maswahiba gani mikononi mwa hao binadamu.
Hao jamaa ni mbwa kila sehemu hawakubaliki kwa tabia zao chafu za wizi,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom