Vibaka East Africa, tahadhari kwa Rick Ross

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Awe makini na vijana watakao mshobokea, yasije mkuta kama 50 cent au mwanamuziki mwingine yalimkuta Kenya, jamaa aliishia kusema f..aki! Ila wajanja wa mjini wameshasepa na cheni ya dhahabu.
 
Wabongo ndiyo zao hawachelewi kuwaliza..
Wanataka kufidia ela yao ya kiingilio..msanii akijisahau tu lazima alizwe.
 
Labda kuiba nayo ni mojawapo ya mafanikio ya ari mpya, nguvu mpya na lasi mpya, sehemuq ya mamilioni ya ajira zilizoahidiwa kwa vijana. Kwani fiesta nayo si ilikuwa ahadi ya uchaguzi?
 
Back
Top Bottom