Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

Shoga mie vikitiwa custard na kukolea hiliki nala sana tu...mpishi wenyewe awe mama angu
Sijalapo hivo vya custard ya habibty nimeonja vya nazi tu nikivipika mi hata sivili...ukivitaja tu naona vitam hivo vya custard....Nipe receipe nitavijaribu!!
 
Farkhina
Kweli nimekuwa mzee lakini bado ninakumbuka sijawa na uzee huo
Vipi ile nyama niliyokuuliza inayotolewa kwenye harusi za waarabu, huwa kama imekaushwa na tangawizi na thoum bado hujapata nafasi ya kuniandikia?
samahani kama nitakuwa ninasumbuwa, kwani uliniambia utaandika baadae nami nimo kwenye kusubiri
 
Shkamoo babu....ntakuekea babu yangu fanya subra...
 
yaaani kwa jinsi nlivyo busy jiko sijaliona mda murefu sana nikasema ngoja niingie jf chef japo nle kwa macho wawekee na chatne mamiii kachori tamu sana

Chatne nimeweka aina 2 shosti....ya nazi kule kwenye badia za dengu na ya embe mbichi kwenye badia za kunde....
 
mimi49 atakuwa anazungumzia vibibi kama unavijua
Hapana mama ni vitobosha vya unga wa mchele baadala ya kutumia unga wa ngano unatumia unga wa mchele!!Ila tofauti ni kwamba huo unga wa mchele unausonga na maji kama ugali vile ili ushikane!!!Then wavisokota kama kawaida....na huvichemshi kwasababu unakuwa ushausonga huo unga,umepikika yaani!
Vibibi ni jamii ya chila lakini unavimwagia tui la nazi lilochemshwa na iliki,sukari mpaka likawa zito na kukazana!!Na bongo vibibi vinachomwaga kwenye kigae cha udongo!!
 
Ivi aya mapishi bado yapo?

Vijoya je unavijua?
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom