Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 40 mkuuKijana naitaka hii ni namba ngapi funguka tumalize biashara
Sawa mkuuHii nimeielewa ila kwangu itakuwa ndogo,navaa 7½ ukifanikiwa kupata ukali kama huu tustuane nije tugawane ridhiki.
Na mimi nahitaji hiyoSawa mkuu
Hiki kiatu vipi bado kipo ni weka namba nikupgie nije nikione.Kiatu cha ngozi size namba 42 kwa bei poa (30,000/=)
View attachment 1122447View attachment 1122448View attachment 1122450
Hiki nacho bado kipo weka namba.All Star Converse Original size namba 43 kwa bei poa (30,000/=)View attachment 1103034View attachment 1103035View attachment 1103038
Hiki kiatu vipi bado kipo ni weka namba nikupgie nije nikione.
Hiki hakipo mkuuHiki nacho bado kipo weka namba.
??All Star Converse Original size namba 40 kwa bei poa (20,000/= tu)
View attachment 1103020View attachment 1103021
Hiki kimeuzwa mkuu
Daaaaah ... Fresh mkuuHiki kimeuzwa mkuu
Namba ngapi mkuu?Tafuta travota halafu nitag
😁😁Hivyo ndo vzur mkuu
Kwaiyo katika picha zote za kupiga promo umeona hio ndo mzur yao daah
Usitutanie mkuu hemu jaribu kua serious
Elfu 25 mkuuHivi ukiandika 25K unamaanisha nini? Binafsi huw asielewi, ninadhani umri ama ujinga unanisumbua.