Viatu vya Mtumba
Member
- Aug 14, 2018
- 65
- 18
- Thread starter
- #101
Mkuu usimkatishe mwenzio tamaa, soko lina taste tafauti tofauti.Kifupi we viatu huna wavaa viatu kama sisi hatuwezi kuvaa hizo nanga.tafuta kama hivi utapata hela.unaweza ukalalamika kazi ngumu kumbe viatu hunaView attachment 1170276
Acha dharau kwenye kazi za watu kamandaKifupi we viatu huna wavaa viatu kama sisi hatuwezi kuvaa hizo nanga.tafuta kama hivi utapata hela.unaweza ukalalamika kazi ngumu kumbe viatu hunaView attachment 1170276
Nimekielewa sana
Huu mguu Ni namba ngap tubadirishane na elaKama hivi vipo? vya kazi hii saiz ni kubwa nataka ndogo yake, ila viishie kama kawaida kwenye ankle itapendeza tafadhaliView attachment 888414View attachment 888415View attachment 888419