Viashiria Vya Kuchakachua Matokeo

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
  1. kiwewe baada ya kusikia Slaa(PhD) atapeperusha bendera ya Chadema
  2. kutumia vyombo vya ulinzi (unakumbuka hadithi ya shimbo?) kuchimbia mkwara wananchi
  3. kugomea kufanya mdahalo wa moja kwa moja kwa wagombea wote.
  4. kampeni za baba, mama na mwana.
  5. kusafirisha wapambe kwa malori (hadi wengine kufa kwa ajali)
  6. kuunda genge la magaidi waliloita green guard
  7. kutunga na kusambaza sms za vitisho na uchochezi wa kidini dhidi ya slaa
  8. kuzuia wanafunzi wasisome ili kumuona kikwete kwa lazima
  9. kukiuka ratiba ya muda wa kampeni kwa kufanya mikutano hata usiku wa manane
  10. kampeni za shuka kwa shuka, kitanda kwa kitanda, nyasi kwa nyasi, nyumba kwa nyumba
Wanaotaka Slaa atoe ushahidi hawayakumbuki haya?
 
Umeyaweka vizuri lakini CCM watayasikia hayo? CCM wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.
 
hata wananchi hilo wamelitambua na haitakuwa rahis kwao huko tuendako

Wao hawana shida tena kaka. Watawaacha mpige kura then wao wanafanya finishing kwenye komputa za NEC!

Itakuwa ni kazi bure kuingia kwenye uchaguzi 2015 kwa katiba hii ya sasa na kwa muundo wa tume ya uchaguzi ya sasa. Hata kama Kilavu na Makame wakibadilishwa, bila kubadili muundo na taratibu, haitasaidia kitu.
 
Back
Top Bottom