Viashiria katika ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili na viwakilishi vyake

Mungu akubariki mtumishi ila somo unalielezea kwa mapana kiasi kwamba unaimwaga hekima yote! Hata yale ambayo mara nyingi huwa tunaamuaga kuyakwepa tusiyaelezee, maana katika mafunuo haya unaelezea mpaka mbinu ambayo watu wa giza hutumia kwa kutumia vitabu Vitakatifu!

Hiki chakula kigumu nadhani si vema sana wakalishwa watoto wadogo ambao bado hawaja funguka vya kutosha. Maana adui akiwashambulia ufahamu wanaweza kuumiza wengine walio dhaifu! Ikimpendeza Mungu elezea tu upande wa Nuru huu upande wa pili uuache tu mtumishi.

Ni kwa nia njema tu si kwa ubaya, wengine msije mkanielewa vibaya
Hata nisipo elezea mpendwa hivi vitu vinafanya kazi na vinatendeka,

Cha muhimu watu wajifunze kujiombea katika kila kitu wanachokifanya, hatutakiwi kutembea kizembe zembe.
Sio rahisi kuandika haya niandikayo, ni vita pia hapa nainua.
Hata wakifanya hivyo wajue yatawarudia
 
Amina mtumishi ubarikiwe
 
.
tapatalk_1545548374754.jpeg
 
Yeah tafuta habari zake kwa undani

Jr
Mkuu nimegoogle hiyo naona kama siku inayotumika kama kuuza vitu kwa bei ya punguzo ili kusafisha store, hivyo siku hiyo watu wengi wanafanya manunuzi sana, hiyo nimeona kwa UK, sasa kama kuna sababu nyingine nyuma ya pazia, naomba utusaidie mkuu. Heshima kwa Divine na wote waliofundisha mengi ktk Uzi huu
 
Sio siku nzuri kwa wazungu, wanaona ni siku ya nuksi na balaa.. Hebu Google vizuri sio black Friday ni tar 13 inayoangukia siku ya ijumaa
Hapa tatizo sio siku bali tarehe 13

Jr
 
Back
Top Bottom