Viapo vya Utii

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,531
Wana JF,

Naomba mwenye nukuu kamili ya viapo vya wafuatao katika mfumo wa serikali ya Tanzania avibandike hapa.

  • Polisi
  • Usalama wa Taifa
  • Wanajeshi
  • Wabunge
  • Mahakimu/Majaji
  • Mwanasheria Mkuu
  • Mawaziri
  • Waziri Mkuu
  • Raisi
Natanguliza shukrani.
 
Would viapo vya Rais, Waziri Mkuu and Wabunge be on our Katiba? (am just being lazy to read the thing again!);)
 
Jamani,

Naomba kurudisha tena kwenye mzunguku hii hoja. Je ni nani kati yetu ana nukuu kamili ya viapo vya utii ambavyo watu hula wakati wanaapishwa kwa kazi mbali mbali, hususan hizo nafasi/kazi nilizozitaja hapo juu?
 
Back
Top Bottom