viapo kwa biblia na misahafu ifutwe?

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Naomba kuuliza,
kwa kuwa mawaziri na wengine wote wanaoapishwa na bibilia au quran tukufu hawaogopi kiapo chao wala hawasiti kukivunja.
Na kwa kuwa waliposikia unga umeingia tubungeni wote waliogopa na kupaniki kabisa.
mimi napendekeza wote wawe wanaapishwa kimila na waganga wa jadi.
wateuliwe bababu wa busara kutoka kanda zote za nchi na wawaapishe viongozi wetu, nadhani wataogopa kugeika nyoka hivyo kazi yetu tuliowapa itafanyika.
 
Huenda NCHI itaepukika na gadhabu za Mwenyezi Mungu hapo baadaye tukiacha kuvichezea Vitabu hivi vitakatifu kwa viapo vya KINAFIKI kama ilivyo sasa. Lakini pia huwa tunasisitiziwa kwamba SERIKALI yetu na VYAMA vyetu vya kisiasa havina DINI.
 
Back
Top Bottom