VIAGRA bomba

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,605
696,697
Tatizo la ngufu sa kiume linazidi kuwa kubwa kila uchao hali hii imefanya dawa sa kuongesa ngufu sa kiume siwe na soko sana na matapeli wausao dawa feki pia wamejipatia pesa mingi, kama unajua fiagra bomba tuambie ili mwenye tatiso hili wajue mimi Najua moya naitwa Antreviron inatengeneswa na dushe ya punda, farasi, nyati, chatu, na dubu! Ni nzuri kupita maelezo dosi yake ni 2×2×7
Angaliso: usisidishe dosi utapasua misipa ya duse yako
 
Solution:
-kula vyakula kama mihogo, samaki, aslali, maziwa, pili pili, soya na vyakula vinhinevyo.
-fanya mazoezi yaviungo
-Wakati wa tendo hakikisha upo safi kiakili hata ki mwili pia.
-na upate mda mrefu wa kupumzika in order ku remove carbondioxide ndani ya damu

Hayo madawa si salama kwa afya yako mkuu!
 
Kwanza umetulaghai kuhusu huo mchanganyiko wa hiyo dawa uloitaja halafu humo kwenye red mmmmmh
 
Inbox me nikupe directives za kupata dawa...achana na hizo ambazo hata formula ya kutengenezwa haifahamiki
 
Inbox me nikupe directives za kupata dawa...achana na hizo ambazo hata formula ya kutengenezwa haifahamiki
 
Tatizo la ngufu sa kiume linazidi kuwa kubwa kila uchao hali hii imefanya dawa sa kuongesa ngufu sa kiume siwe na soko sana na matapeli wausao dawa feki pia wamejipatia pesa mingi, kama unajua fiagra bomba tuambie ili mwenye tatiso hili wajue mimi Najua moya naitwa Antreviron inatengeneswa na dushe ya punda, farasi, nyati, chatu, na dubu! Ni nzuri kupita maelezo dosi yake ni 2×2×7
Angaliso: usisidishe dosi utapasua misipa ya duse yako

Kwa wenye matatizo kama haya ni vyema kuwaona mataalam wa mambo ya afya ya viungo au uzazi! Hizi dawa za kuandikia huku bila kuconsult madaktari unaweza kujikuta unalifanya tatizo kuwa kubwa zaidi ... Baadhi ya dawa za kienyeji hazijafanyiwa research ya kutosha na side effect zake bado hazijajulikana vya kutosha. Ni vyema kuwa waangalifu. Nilishawahi kushuhudiwa mtu mmoja laiyetumia dawa hizo, na nguvu ikarudi lakini baada ya miezi sita ile kitu ikafa nguvu kabisa, akawa haweza kabisa bila dawa ...
Ni angalizo tu wakuu!
 
Dawa ni sumu chukueni mchanganyiko huu tangawizi kilo moja vitunguu saumu kilo moja karangambichi nusu kilo maziwa fresh halisi lita moja asali ya nyuki wadogo halisi nusu lita pweza nusu kilo hajinamoto nusu kijiko cha chai menya na katakata twanga weka kwenye sufuria na kuchemsha pamoja mchanganyiko huu uliwe kwa muda wa siku saba tatizo kwishneyy
 
duh ama kweli
 
yote haya ya nini? ( ukikutwa unachanganya unaweza kushikwa uchawi bure)
 
Solution:
-kula vyakula kama mihogo, samaki, aslali, maziwa, pili pili, soya na vyakula vinhinevyo.
-fanya mazoezi yaviungo
-Wakati wa tendo hakikisha upo safi kiakili hata ki mwili pia.
-na upate mda mrefu wa kupumzika in order ku remove carbondioxide ndani ya damu

Hayo madawa si salama kwa afya yako mkuu!

Nimekupata vzr sanaaaaaaa,nadhan huu ndio ushauri nilio kiwa naitaka.
Safi sana babu
 
Solution:
-kula vyakula kama mihogo, samaki, aslali, maziwa, pili pili, soya na vyakula vinhinevyo.
-fanya mazoezi yaviungo
-Wakati wa tendo hakikisha upo safi kiakili hata ki mwili pia.
-na upate mda mrefu wa kupumzika in order ku remove carbondioxide ndani ya damu

Hayo madawa si salama kwa afya yako mkuu!

Zero One Two naona una experience ya kutosha hakika we ni Bwana mitishamba haswaaaaaaa.
Umesahau mtindi na karanga
 
Solution:
-kula vyakula kama mihogo, samaki, aslali, maziwa, pili pili, soya na vyakula vinhinevyo.
-fanya mazoezi yaviungo
-Wakati wa tendo hakikisha upo safi kiakili hata ki mwili pia.
-na upate mda mrefu wa kupumzika in order ku remove carbondioxide ndani ya damu

Hayo madawa si salama kwa afya yako mkuu!

Mkuu ungeorodhesha hivi vyakula vinginevyo pia tupate darasa kamili ingesaidia sana.
Thanks
 
Huo ni ukweli tatizo la nguvu za kiume ni kubwa na kuna wale waliozaliwa hivyo, kuna waliopungua nguvu kutokana na maradhi na wengine mtindo wa maisha wanayoishi na vyakula wanavyokula.........Tafuta dawa hii ni kiboko inaitwa KABANGA...inapatikana hasa kwa madereva wazoefu wa malori yaendayo Kongo..........HATARI:love:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom