Vetting ya viongozi ni muhimu sana, kuna wenye kashfa

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Nadhani mamlaka zinazomsaidia Mh.Rais kupata wateule ni vema zikawa makini sana kwenye kipengele cha vetting.

Wateule wengi pamoja na udhaifu wa binadamu wana kashfa za kujitakia ambazo ni aibu kwa wananchi.

Kitendo cha mteuliwa kuwa na kashfa ya ngono, wizi, utoro kazini ni aibu kwa wananchi atakaoenda kuwaongoza.
 
Nchi hii kashfa ya ngono siyo kigezo cha kunyimwa uongozi wana msemo hayo ni maisha binafsi ya mtu na kila mtu ana udhaifu au mapungufu yake. Lini umesikia kiongozi kawajibishwa kisa kasfa ya ngono.
 
Usije kushangaa mtu kama makonda au sabaya akaja akapewa nafasi kubwa tu, hilo linchi la wahuni watupu, wewe ukiniona decent nenda aksomee upadri tu.
 
Mfumo wetu wa vetting umevurugwa, yaani walipelekwa majina ya vetting na wahusika wanajuaa.
 
Watu smart, wanaojielewa, wenye misimamo

Ni ngumu sana kuwekwa kwenye nafasi

Wenye uelewa hapa watakuwa wamenielewa

Ova
 
Yawezekana hakuna uhusiano wowote kati ya tabia ya mtu(ulevi, uzinzi na mengineyo) na utendaji kazi wake lakini ni vema vitu hivi vikatazamwa kwa makini kwa sababu vinaathiri
 
Kingine kinachowaponza wanasiasa wa vyeo vya kuteuliwa ni Ulimwengu huu wa kila kitu kuwekwa wazi na media za kila aina.

Enzi za Nyerere na Mwinyi hakukuwa na hizi simu za kisasa, maisha binafsi yalikuwa ni Siri za watu. Mtu unamuona akiwa hadharani tu na akishatoweka hujui kinachoendelea kumhusu.

Hivyo hiki tunachokiona kama ni udhaifu wa wateuliwa ni matokeo ya maendeleo ya teknolojia. Hakuna tena faragha za mtu mmoja mmoja na zile za kijamii.
 
Nadhani mamlaka zinazomsaidia Mh.Rais kupata wateule ni vema zikawa makini sana kwenye kipengele cha vetting.

Wateule wengi pamoja na udhaifu wa binadamu wana kashfa za kujitakia ambazo ni aibu kwa wananchi.

Kitendo cha mteuliwa kuwa na kashfa ya ngono, wizi, utoro kazini ni aibu kwa wananchi atakaoenda kuwaongoza.
Muswando naye alipangusa kwa mdomo ile mashine ya Dada yetu Giggy Money?

Muswando alikusudia kula mara moja ama bado huwa anarudia rudia maana kwa inavyosemekana giggy ni zaidi ya asali ya nyuki wadogo.

#Mwenye ile clip Musuwando akichezea ubaraza anitumie.
#Alikuwa amemwacha mkewe nyumbani huku anaibembeleza ya Gigi Mane
 
Usije kushangaa mtu kama makonda au sabaya akaja akapewa nafasi kubwa tu, hilo linchi la wahuni watupu, wewe ukiniona decent nenda aksomee upadri tu.
Utabiri wako umeshatimia kwa mmoja kati ya wawili uliowataja.
 
Muswando naye alipangusa kwa mdomo ile mashine ya Dada yetu Giggy Money?

Muswando alikusudia kula mara moja ama bado huwa anarudia rudia maana kwa inavyosemekana giggy ni zaidi ya asaki ya nyuki wadogo.

#Mwenye ile clip Musuwando akichezea ubaraza anitumie.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom