Vetting ya private contractors wa ujenzi wa nyumba

Northern Lights

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
383
347
Habari wakuu...

Kwa sasa kuna kundi kubwa sana la watu wanaofanya ujenzi kwa watu binafsi kwa mkataba, ukitembelea instagram utaona ni jinsi gani walivo wengi.

Changamoto kubwa iliyopo ni kujua yupi anayeweza kufanya kazi kweli maaana picha baadhi wanatoa tu mtandaoni na wengine ku copy za wenzao na kufanya editing.

Swala langu kwa mtu anayetaka kutumia contractor ni njia zipi nzuri kuzitumia kufanya vetting ili kuepuka matapeli na watu ambao hawana uzoefu au ujuzi wa kufanya kazi nzuri.


3-bedoom-with-balcony-house-plans-2.jpeg
 
Njia nzuri na ya haraka ni kupita kwenye site ujiridhishe na kazi zinazofanyika, ukipata nafasi onana na mteja aliyejengewa nyumba kwa mfumo huo. ukipata bahati ya kukuta mafundi wako site jaribu kumuuliza mmoja juu ya bosi wao, haitakuangusha.

ukihitaji kuanza ujenzi njoo nikuonyeshe mafundi ambao wataifanya kazi yako kwa umakini na hutojutia kamwe.
 
Back
Top Bottom