VETA nalo jipu, Waziri Ndalichako liangalie kwa jicho la tatu

shimokoz

Member
Jul 15, 2016
41
20
Habari wana jamii,

VETA nalo ni jipu nashauri waziri Ndalichako angeiangalia kwa jicho la tatu maana akili ndogo inatawala akili kubwa.
 
Tena hili limeiva hasa likicheleweshwa litatumbuka lenyewe ama la litavia
 
Toa maelezo ya kutosha mkuu ili iwe rahisi kujua wapi pakuanzia. Je ni udahili, uwezo wa wakufunzi, fedha za miradi, mitaala au nikitu gani.haswa?
 
Back
Top Bottom