VETA: nafasi za kazi kibao leo 9/9/2011

kaka wengine vi simu vye2 vya mkulima,itapendeza uka kopy na kupaste.utakuwa umetusaidia tena.
Shukran kwa taarifa.
 
shukran mkuu, lakini hapa najitahidi kutafuta deadline na address sivioni!
 
Mkuu asante, ila sijaona deadline wala tuna-apply kwa nani......
 
deadline ni tar 21 sept. apply kwa the director, executive selection division, deloitte consulting limited, box 1559, dsm. all da best
Mkuu asante, ila sijaona deadline wala tuna-apply kwa nani......
 
Delloite & Touche ndiyo wanafanya mchakato mzima wa ajira hizi za VETA. Nimechoka kabisa kusikia taasisi ya Umma inatafuta wafanyakazi katika middle level management na Junior staff kwa kutumia kampuni binafsi. Mamlaka yenye umri mkubwa kama hii, Mkurugenzi na idara ya human resources nchi nzima nk. kutumia kampuni aaagh. Siyo hivyo tu pia kuna Management ya ajira serikalini, japo inahusika na wafanyakazi wa idara na taasisi za serikali zilinazotegemea budget ya serikali lakini pia ni wakati muafaka kwa taasisi nyingine za serikali zisizo na uwezo wa kuajili kama VETA kutumia idara hii. Naomba kuwasilisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom