Electronian
Member
- Sep 1, 2013
- 16
- 0
Kwa anae fahamu ada ya kozi ya udereva (DRIVING COURSE) Veta chang'ombe DSM
Naomba anambie ni bei gan kwa mwaka wa 2014.
Naomba anambie ni bei gan kwa mwaka wa 2014.
Sina swali mkuu ila nashukuru xana kwa maelezo yko.kama ndo unaanza unapaswa kusoma udereva wa awali ada ni 150000-180000 pia unaweza kupitia pale chang'ombe utapewa joining instructions bure. kama unataka udereva uwe ndo ajira yako, baada ya kumaliza hayo mafunzo utapewa cheti kisha utapelekwa usalama barabarani makao makuu kwa ajili ya mtihani wa mwisho ambao ukipita utapewa leseni daraja d ambalo linakuruhusu kuendesha magari madogo yasio ya biashara wala mizigo unatakiwa ukae na hii leseni miaka mitatu ndipo uweze kusomea magari makubwa ya abiria au mizigo......swali lingine
karibu sana
mkuu hapo juu ametoa maelezo mazuri sana,hayo malipo hayausiani na malipo ya lesen,lesen inatoka tra kwa bei ya 40000 tu.
Ainashida kama umefeli unaweza kusomea hiyo course piaNdugu wananchi. Elimu yangu ni form four lakn kwa bahati mbaya nilipata matokeo mabaya yaani failure.
Naomba mnafahamishe kama nitaruhusiwa kujiunga VETA ndugu zanguni.