'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Wewe yawezekana kabisa ni Mzee wa Miaka ya 60
Kipindi ambapo Msomi pekee wa kumuamini ni yule Aliyepata shahada yake Ughaibuni au Mtoto wa Chief Aliyepata Nafasi kusoma shule ya Seminary
Au ndio mnao amini kuwa kuna Shule za kata na wenye Vipaji
Dunia imebadilika.....Elimu yoyote utayohitaji unaipata kwenye keyboard ya Simu janja yako
Ni Wewe tu na Mda wako
Evolution ni ile ile hata ukifundishwa chini ya Ardhi
au ya Mti.... Science ni Universal
Haitegemei ulipo au unafundishwa na nani au Unajifunza kwa njia ipi
Mijitu Kama nyie Inayo amini kwenye huo mfumo unaoitwa rasmi wa Elimu,wa Mtu kusoma Miaka 16 ndio aitwe Msomi ndio chanzo kikubwa Cha kuwa na Wasomi wa hovyo vyuo kikuu
Relax!
 
kama huvuti bangi basi unakula kabisa...

Nimecheka saana kwa sababu na mm nlikua nawaza kama weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu,

Hii mada ipo kwenye Evolution and Origin of Man. Lakini ilikuwa na shortcomings nyingi sana ukilinganisha na nyinginezo hasa ile ya Charles Dwarin.

Hata hivyo, theories zote hizi bado hazikuweza kuelezea vyema mwanzo wa maisha, yaani components za cell ya kwanza zili-originate wapi na zilipatikanaje - the ultimate source.

Hivyo, hii theory ya Creation ambayo inaamini katika Uumbaji wa Mungu ndio yenye nafasi na mashiko zaidi.
 
Nimecheka saana kwa sababu na mm nlikua nawaza kama weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hahahahahaha mkuu miguu uliyonayo ni kwasababu babu yako wa kumi huko alikuwa anatembea sana....kwahyo miguu yako imeevolve kutoka kwake...
 
Blue eyes: Is everyone with blue eyes related?
By Gary Heiting, OD

1570715193880.jpeg
Woman with blue eyes

Advertisement


Among human beings, blue eyes are less common than brown eyes. This is one reason that blue color contact lenses are popular.

Here are a few facts about blue eye color you might not know:

1. All blue-eyed people may have a common ancestor
It appears that a genetic mutation in a single individual in Europe 6,000 to 10,000 years ago led to the development of blue eyes, according to researchers at the University of Copenhagen .

"Originally, we all had brown eyes," said Hans Eiberg, associate professor in the Department of Cellular and Molecular Medicine at the university and lead author of the study. "But a genetic mutation affecting the OCA2 gene in our chromosomes resulted in the creation of a 'switch,' which literally turned off the ability to produce brown eyes."

Eye color depends on the amount of a single type of pigment (called melanin) in the iris of the eye. This genetic switch, located in the gene next to the OCA2 gene, limits the production of melanin in the iris β€” effectively "diluting" brown eyes to blue.

In addition to having significantly less melanin in their iris than people with brown eyes, hazel eyes or green eyes, blue-eyed individuals have only a small degree of variation in their genetic coding for melanin production. Brown-eyed individuals, on the other hand, have considerable individual variation in the area of their DNA that controls melanin production.

"From this we can conclude that all blue-eyed individuals are linked to the same ancestor," said Eiberg. "They have all inherited the same switch at exactly the same spot in their DNA."

So if blue eyes are the result of a genetic mutation in a single individual, how did the trait spread from just one person to being present in 20 to 40 percent of the populations of some European countries today?

One theory is that blue eyes were immediately considered an attractive feature, causing people to seek mates with blue eyes to have children with, enabling the genetic mutation to multiply.
 
Vestiges ni viungo katika miili ya wanyama ambavyo vinaweza visiwe na kazi katika baadhi ya wanyama lakini vinakuwa na muhimu na ni vya lazima katika miili ya wanyama wengine.

Mfano 'tail bone' / mfupa wa mkia hauna umuhimu wowote katika mwili wa binadamu maana hatuna mikia sisi, lakini tunao mfupa huo; mfupa huo ni lazima na ni muhimu sana kwa wanyama wenye mikia kama ngedere nk. Hii inashiria kwamba hapo awali binadamu tulikuwa ni kiumbe tofauti kabisa kilichokuwa na mkia ila kwa sasa kiungo hicho kimepotea sababu matumizi yake hayapo tena. (If you don't use it, loose it), hii ndio principle inayotumika katika evolution.

Vestiges zipo nyingi sana katika animal kingdom, mfano nyangumi ana mifupa ya miguu iliyojificha ndani japo hana miguu,hii inashiria kwamba hapo awali alikuwa ni mnyama wa ardhini aliyetembea, na tena bado anazaa na kunyonyesha kama wanyama wengine wa ardhini na sio kutaga mayai kama wafanyavyo samaki.
Vestiges ni nyingi sana, tusaidiane kuziorodhesha na kuzichambua vilivyo na kwa undani kabisa.

Sasa binadamu mwenye akili timamu anaweza weza vipi kuamini kwamba binadamu aliumbwa kama alivyo leo hii na mwonekano wake huu wa sasa, yaani hakubadilika kutoka aina moja ya muonekano hadi kufikia huu muonekano wa sasa. Huwa mnatumia mbinu gani kujitoa akili kwa kiwango hicho?! Mbona mi nashindwa kabisa??!!!

=============================
Mfano mwingine ni kifuko cha appendix kwenye utumbo wa binadamu, kwetu hakina kazi lakini kwa wanyama wanaokula mimea huwa wanakihitaji sana hicho kifuko na kinakuwa ni kikubwa sana kwao na huwasaidia kwenye kusaga chakula, hii inaashiria kwamba tulikuwa mnyama mmoja ila kila mmoja akabadilika kulingana na mazingira yake..
=============================

Mfano mwingine ni 'vitendea kazi' vya uzazi kwa mijusi wanaozaa kwa kuji-clone, yaani hawa mijusi huwa wanataga yai ambalo ni clone yao wenyewe na hivyo hawaitaji kujaamiiana ili kuzaa. Sasa kwakuwa bado wana hivi viungo ambavyo vimebaki huwa wanavitumia kama kujiburudisha tu, lakini havina kazi kwa sasa,japo hapo nyuma vilijuwa na kazi.
=============================
_______________________________
Na hicho kiumbe OG ambacho tulievolve kutoka kwake kilitoka wapi?
 
Kama kweli appendix haina kazi subiri ijae ndo utajua ina kazi au haina?
Kwahiyo kazi ya Appendix ni kujaa? Kujaa huo si ni ugonjwa unaitwa β€˜Appendicitis’? Tangu lini ugonjwa ukawa ndio function ya kiungo?, Kwani ukiikata appendix unapungukiwa na function yeyote katika mwili wako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom