MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,067
- 1,201
Jamaa umenifurahisha.....ila ukweli ni kwamba hili somo liko complex sana. Na miaka ijayo binadamu anaweza kuwa wa tofaut sana na sasa.Dah!..haya bhana
Hapa napendekeza kwako kitabu kinaitwa Homodeus- a brief history of tomorrow. Unaweza kucheck lectures zake kwenye you tube.
Hakika yajayo yanashangaza mno...alot is goin on...!