Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,762
misiba miwili imetokea kwenye familia ya marehemu Banza Stonealiyekua mwimbaji hodari wa muziki wa dance Tanzania. Msiba wa kwanza ni wa Mjukuu wa mama mzazi wa Banza Stone ambapo msemaji wa familia anasema msiba wa pili ni kifo cha Mama mzazi wa Banza, kilichotokea ni kwamba alifariki dakika 60 baada tu ya kifo cha mjukuu wake na inasemekana chanz ni mshtuko alioupata.
Chanzo: MillardAyo
Chanzo: MillardAyo