Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Magufuli kaminya upinzani mpaka unapotea kweli 😢😢
Imagine HAKUNA mbunge wa CCM aliyewahi kusumbuliwa na police, ila wangapi viongozi wa upinzani wamekuwa harassed na police?
Mnajua effect yake hawa viongozi kusumbuliwa na police????....moja Inatoa picha hawa viongozi sio responsible citizens,kwani kwa police wanaoenda ni wahalifu, kwa hio kupelekwa police hawa viongozi wa upinzani kuna wapa picha jamii kuwa they are not to be trusted... hili limekua crafted carefully na serikali ya MAGUFULI! serikali zilizopita kulikua hakuna unyanyasaji kama huu wa serikali ya tano, ndio kusema kwenye serikali zilizopita viongozu wa upinzani walikua HAWAKOSEI?? Ndio ujue kama hili limekua crafted!
SECOND,kupeleka viongozi wa upinzani jela,nikuwachanganya kisaikolojia,demoralise kuwapoteza kiakili wasi concentrate na maendeleo ya majinbo yao..na muda waliopaswa kuwa majimboni Mwao wako wanashughulikia kesi zao police......sijafanya utafiti, ila sitashangaa kama majimbo yale yenye viongozi wa upinzani waliosumbuliwa na police ndio yenye least development!!?!
Cha kufanya CHADEMA ni kuongeza resources/ income muwe mnaajiri ma lawyers kutoka NJE , MAGUFULI anaweza INTIMIDATION waache apart mtu wa kumui INTIMIDATE na yeye atapunguza unyanyasaji, DICTATOR yeyote mwenye Authority ukimuonyesha kuna mtu juu yake anakua mpole anapunguza ego, tunahitaji Lawyers , akina ROBERT AMSTERDEM wengi, muone kama mtaonewa tena na serikali ,,, deploy wakili kama wawili watatu, muone kama mtaonewa tena
Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki upinzani